Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,912
ITV wameripoti habari ya Bashe kutaka Tume iundwe kuchunguza matukio ya utekaji yaliyotokea siku za hivi karibuni.
Cha kushangaza sijaona wakirusha clip ya Bashe akiomba muongoza huo ndani ya Bunge kitu ambacho mimi kmenishangaza kwani sikutarajia.
Kama labda mimi ndio sikuona basi alieona anisahihishe maana huenda ni macho yangu.
Shukrani sana siku hizi tuna mitandao ya kijamii maana huenda haya tusingeyajua kwa undani.