kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,223
- 15,746
miccm hoi
Asante kwa taarifa ila ITV sio kituo cha Taifa
Kapitishe wewe mkuuMbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,
Asante kwa taarifa ila ITV sio kituo cha Taifa
kwake (na kwangu), ITV ni Kituo Cha Taifa. Chagua na wewe, kituo chako cha Taifa
imewauma walivyo wajinga wataacha kujadili taarifa watajadili hapa.Sijui kwa sababu ni ni ndugu yao hivi mna hisa au???
TBC ndio tv ya TAIFA na lazima mwaka huu ikifika saa mbili kujiunga taarifa ya habari TBC baada ya hapo ndo mtaonesha habari zenu za kujitangaza .
tunasubibi mkutano
viva UKAWA
Embu tuambie kituo cha Taifa kingine zaidi ya I.T.V ni kipi usilete T.V ya chama hapa.
ni cha kimataifa eeh!
Jenereta unalo? au una solar?Kesho lazima niikodolee Itv mapema sana
Mbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,
Siasa zisiwafanye mkakosa uwezo wa kufikiri, ukweli utabaki ukweli tu, ITV sio kituo cha Taifa Bali ni kituo kikubwa kinachopendwa. Hata kama TBC haipendwi itaendelea kuwa ya taifa.
Mbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,
Asante kwa taarifa ila ITV sio kituo cha Taifa
kalale wewe.....sisi ndiyo tunakuambia ITV ni television ya taifa.
peleka huko nanii yenu ile ya pale jirani
Asante kwa taarifa ila ITV sio kituo cha Taifa
Sikuhizi sina morari na hizi habari za chadema, yani kale ka hamu kamenitoka kabisa. NAO WAJIFUNZE KUJA NA SERA
Ni kituo cha taifa kwa maana ni kimbilio la watanzania zaidi ya 80%, wote hutumia kupata habari kupitia ITV,