CHADEMA wabahili sana nimeona kwenye mkutano so hata Maji hawajawanunulia vijana wa VYUONI, ruzuku zote zile hata kununua katoni 20 mmeshindwa? Nchi hampati hata siku moja mtakuja kutupa tabu tu huko mbeleni.
nyie mmezoea kununua kondom...CHADEMA wabahili sana nimeona kwenye mkutano so hata Maji hawajawanunulia vijana wa VYUONI, ruzuku zote zile hata kununua katoni 20 mmeshindwa? Nchi hampati hata siku moja mtakuja kutupa tabu tu huko mbeleni.
Mbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,
Wachaga wana tabia ya kusapotiana sana!
Wachaga wana tabia ya kusapotiana sana!
Kama mama yako alivyotoka sehemu moja na Tembo Man na fisiKweli huenda wamepewa buree offer , na Mzee MENGI si unajua wantokea sehem moja na DJ
Hilo nalijua kamanda tulikuwa tunaulizia mmelipa kiasi gani ITV ni hayo tu.
bajeti yenyewe iko wapi mjomba? hata hizo zilizopitishwa mwaka jana pesa hazijapelekwa na CAG katuambia jamaa wamepiga 6B sasa si bora aje kwa wananchi kituhamasisha mwezi Octobar tuwatimue na mapanga wezi nyie, ESCROW, MEREMETA, EPA, RADAR, RICHMUNDULI, mmh zingine nisaidie wewe.Mbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,
Ktk king'amuzi cha star times,jion ya Leo ITV na star TV hazipo.zimetolewa.....hii maana yake ni nini?dah mwenye taarifa pliz atujuze nini kimetokea kwa TV station hizi mbili kutokuonekana jion ya Leo tare he 23/05/2015?
Kweli huenda wamepewa buree offer , na Mzee MENGI si unajua wantokea sehem moja na DJ