Alafu ukishajua ndio ukamwambie mkeo au?
Goodmorning Makamanda!
Kesho kuanzia majira ya saa 10 jioni kituo cha Taifa cha ITV kitarusha live mkutano mkubwa wa CHADEMA utakofanyika kawe.
Viongozi mbalimbali wa kitaifa watakuwepo, Kamanda wa Anga Freeman Mbowe, Halima Mdeee pamoja viongozi wengine wakuu wa chama.
Ukipata taarifa hii usisite kumjulisha na mwenzako.
Akili zako nahisi zinaupungufu kwani kujua matumizi ya chama ni kosa?
chama hiki kinakuhusu nini ????NDOROBOOO
mkuu kwa sifa ipi tbc iitwe tv ya Taifa?au na wewe umekubali ulaghai wa viongozi wa ccm na serikali Yao?imewauma walivyo wajinga wataacha kujadili taarifa watajadili hapa.Sijui kwa sababu ni ni ndugu yao hivi mna hisa au???
TBC ndio tv ya TAIFA na lazima mwaka huu ikifika saa mbili kujiunga taarifa ya habari TBC baada ya hapo ndo mtaonesha habari zenu za kujitangaza .
tunasubibi mkutano
viva UKAWA
kama wewe ni mwana chama wa chadema subiri vikao ukaulize swali lako Hapa si mahali pake na kama si mwana chama basi wewe ni mmbeya sana wambeya wengine tuAkili zako nahisi zinaupungufu kwani kujua matumizi ya chama ni kosa?
sijui ni chama gani duniani kinawahusu watu wote waliomo kwenye nchi.hii nadhani ni mpya ya 2016Kwani hiko chama si cha watanzania wote au ni cha watu wachache?
Nilisikia tangazo jana nikachanganya tarehe, nilijua ni leo bwana nikamkataza wife kubali channel, kumbe ni kesho
kama wewe ni mwana chama wa chadema subiri vikao ukaulize swali lako Hapa si mahali pake na kama si mwana chama basi wewe ni mmbeya sana wambeya wengine tu
Nilisikia tangazo jana nikachanganya tarehe, nilijua ni leo bwana nikamkataza wife kubali channel, kumbe ni kesho
sijui ni chama gani duniani kinawahusu watu wote waliomo kwenye nchi.hii nadhani ni mpya ya 2016
ngoja nikanunue kisimbuzi kingine maana hawa startimes najua lazima ITV itakuwa inascratch..
Maaana jipya laki nne itategemea sasaMkuu bei nafuu ni kama sh,ngapi?