Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 22,756
- 27,481
ningefurahi sana sana endapo tbc1 wangerusha live mkutano huu / mengi sana yangetokea likiwamo la mkurugenzi kufukuzwa kazi Mara moja
Goodmorning Makamanda!
Kesho kuanzia majira ya saa 10 jioni kituo cha Taifa cha ITV kitarusha live mkutano mkubwa wa CHADEMA utakofanyika kawe.
Viongozi mbalimbali wa kitaifa watakuwepo, Kamanda wa Anga Freeman Mbowe, Halima Mdeee pamoja viongozi wengine wakuu wa chama.
Ukipata taarifa hii usisite kumjulisha na mwenzako.
Mods please.
Asante kwa taarifa ila ITV sio kituo cha Taifa
Sikuhizi sina morari na hizi habari za chadema, yani kale ka hamu kamenitoka kabisa. NAO WAJIFUNZE KUJA NA SERA
Kamanda mmelipa kiasi gani ITV maana mkutano wa ACT - Wazalendo mlikuwa mnataka kujua gharama sasa zamu yenu.

Hilo nalijua kamanda tulikuwa tunaulizia mmelipa kiasi gani ITV ni hayo tu.Mkuu chama chetu ni kikubwa sana hakiwezi kukosa fedha ya kulipa gharama,
Hilo nalijua kamanda tulikuwa tunaulizia mmelipa kiasi gani ITV ni hayo tu.
Asante kamanda kwa taarifa safi.Goodmorning Makamanda!