ITV kurusha leo live mkutano mkubwa wa CHADEMA Dar

ITV kurusha leo live mkutano mkubwa wa CHADEMA Dar

Status
Not open for further replies.
Mbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,

Naona sababu Halima Mdee atakuwepo na nyie mlishaanza kutengeneza VISIKENDOLI vidogo vidogo ili wasielewane basi imekula kwenu ...........Mwaka huu mpaka mpate vichaa..........:clap2::clap2:FOR CDM;2015 VOTE FOR CDM:whoo::whoo::whoo::whoo::whoo:
 
Mbowe badala ya kukaa bungeni kupitisha bajeti anazurura tu hovyo, bunge lisitishe kuwalipa mafao yao,

Wewe akili yako bado haijarudishwa? Kuna siku mawaziri wa serikali ya ccm walibaki wawili tu bungeni,na wakati huo kikao cha budget ikaendelea,jana wajumbe wa nec ccm wote walikuwa kwenye vikao na mwenyekiti wenu pia leo,mbona hukenui juu ya hilo? Mwanakhramu ww
 
Gud news. tuonbe mungu MaTicraaa hapo Ubungo yasikabe mawimbi ya ITV.
 
Safi sana!

Hivi wakuu ITV coverage yake ikoje.

Inaonekana wapi na wapi?!
 
Hii tv nijanga la taifa kwa mustakabali wa taifa letu tv kama hii hatuitaji ni hatari kwa raia wetu

Lazima tujena sheria ya kuzi control hizi tv uchwaro kama hii itv ni janga kwanza lile eneo lamichezo ya watoto itabidi Mengi arudishe kwa manispaa ya kiondoni
Hivi unaelewa Ulichokiandika au
 
Asante mkuu kwa taarifa,kesho mapemaa nipo uwanjani kuwasikiliza viongozi wa nchi,nitakuwa mstari wa mbele nimulikwe na television ya Taifa ITV

mkuuu mkutano unafanyika kawe sehemu gani ili nami nijumuike
 
Goodmorning Makamanda!

Kesho kuanzia majira ya saa 10 jioni kituo cha Taifa cha ITV kitarusha live mkutano mkubwa wa CHADEMA utakofanyika kawe.

Viongozi mbalimbali wa kitaifa watakuwepo, Kamanda wa Anga Freeman Mbowe, Halima Mdeee pamoja viongozi wengine wakuu wa chama.

Ukipata taarifa hii usisite kumjulisha na mwenzako.
Weka tarehe mkuu! Ukisema kesho haielezi vizuri ni lini iwapo thread hii itakaa siku mbili tatu hapa JF.
 
Goodmorning Makamanda!

Kesho kuanzia majira ya saa 10 jioni kituo cha Taifa cha ITV kitarusha live mkutano mkubwa wa CHADEMA utakofanyika kawe.

Viongozi mbalimbali wa kitaifa watakuwepo, Kamanda wa Anga Freeman Mbowe, Halima Mdeee pamoja viongozi wengine wakuu wa chama.

Ukipata taarifa hii usisite kumjulisha na mwenzako.

Duh! Sio mkutano wa UKAWA tena bali chadema!! Kweli mnawatumia CUF na NCCR kupata umaarufu!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom