ITV Kurudia Mkutano wa Lowassa Mwanza Leo Saa 10:15 Usiku

CCM bye bye

Na mwaka huu tukiwakosa hawa ccm, itatuchukua nusu karne kumpata mgombea mwenye nguvu kama LOWASA. Jana nilikuwa na gamba moja tena lile kindakindaki hasa linasema bwana mwaka huu tumeshikwa, ila tunajifaragua tu, ila hali ni mbaya kuliko maelezo. Tuombe mungu.
 
Kwani huo mkutano unanini cha zaidi maana mgombea mwenyewe wa ukawa anaongea kidogo tu!!! Au kwa ajili ya kuangalia wingi wa watu walohudhuria? Maana thread nyingi zimeanzishwa kuutangaza mkutano huo!!! Maana kumbuka kuwa WINGI SI HOJA!!!
 
Wakuu Mkutano wa Ukawa uliofanyika Furahisha Jijini Mwanza utaonyeshwa na ITV muda huo.

Source ITV.
 
Back
Top Bottom