amilyroley
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 621
- 1,200
ITV wametangaza wataonyesha marudio ya mkutano wa Lowassa leo akiwa jijini Mwanza ifikapo saa nne na robo leo usiku.
Usikose, kaa jirani na TV yako..
Usikose, kaa jirani na TV yako..
Jamani Mtawauwa CCM Kwa Pressure....Lowassa Waonee huruma CCM Hawatarudia Kukukata baba.
Hahaaa acha awaue nikikumbuka bunge la katiba na bungeni wanavokuwaga na nyodo na kutufanya Watanzania hatujielewi. Mi nafurahi wanavopata pressure
mkuu ITV raha sana,kimeisha kipind cha bawacha kinafuata kipind cha Joshua nassari alafu tunamaliza na rais lowasa,hakuna kubadili chanelHahaaa acha awaue nikikumbuka bunge la katiba na bungeni wanavokuwaga na nyodo na kutufanya Watanzania hatujielewi. Mi nafurahi wanavopata pressure
Tunawakata kuanzia diwani, mbunge halafu tunamalizia na Sacatriki wao. unapouwa nyani hakuna kumtazama usoni. Nimeshapanga na wamiliki wa mtandao wa mabar kwenye kata yangu hakuna kufunguwa bar mpaka mchana, mijitu ya Dar inathamini sana pombe.