golwebo_mkuu
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 2,271
- 688
Huyu mtoto mama yake yupo na hakuna taarifa yoyote iliyotolewa na daktari kua huyu mama hawezi kumnyonyesha mwana.
Pia huyu dada alimlea mwanae miezi mi4 na bado ana nia na anataka kumlea mwanae.
Kwanini anyonyeshwe na shangazi.
mother was proved to be mentally ill. lengo na dhamira ya kwanza ya mahakama ni kulinda usalama wa mtoto, na hiyo ndiyo haki ya kwanza ya mtoto, usalama kwanza na mengine yanafuata.
no emotions attached.