Itv kunani kanda ya kaskazini?

Itv kunani kanda ya kaskazini?

georgerweba

Member
Joined
Sep 25, 2010
Posts
12
Reaction score
2
Ni miezi mitatu tangu ITV/RADIO ONE watoe matangazo kwamba hawatakuwepo hewani kwa muda mfupi,lakini cha ajabu ni kwamba mpaka sasa hawajarudisha matangazo yao, ajabu zaidi nikua tulikua tunawapata kwenye dish lakini ilifika wakati matangazo yao yakapotea pia.Jambo linalosikitisha nikua hatujawasikia wahusika wakuu wa ITV/RADIO ONE wakizungumzia swala hili
 
Hata signal zao kwny satelite kwa tunaotumia madish ya futi6 znasumbua sana maranyng ikifika saa mbili usiku znaanza ku scratch sana, tunaomba waliangalie sana hili
 
Back
Top Bottom