Ngatele
JF-Expert Member
- Jan 25, 2011
- 809
- 706
Ni bora wajitoe mapema ili wananchi walazimike kuhamia ving'amuzi vingine mapema kabla ya kampeni za kura ya maoni na pia uchaguzi mkuu. Kipindi hicho startimes watafanya michezo yao hiyo wanayofanya wakati wa taarifa ya habari ili wananchi wasipate fursa ya kutazama habari za ukweli na uhakika kupitia ITV.