IPP yote ITV, EATV na magazeti yao wamenunuliwa na Lowasa tayari kwa ajili ya kumsafisha sasa itabidi kituo hiki kifungiwe kabisa.
MATKEO ni leo kama Dodoma umesahau kuwa kura zilipopigwa wakadai ni usiki hivyo matokeo yatatangazwa kesho sasa leo mnahoji nini wakati kumeanzishwa utaratibu mpya wa kutahgaza matokeo huyo naye>>><<<<<<<><><><
Wanajidanganya hao, kamwe kura yangu haiwezi kwenda kwa fisadi
Tume kupuuza. Kama tulivyopuuza chama chakoShiiida hasafishiki, Watanzania tufunguke. Chadema kumbe nao mchezo uleule, wakipewa nchi afadhali zimwi likujualo. Maoni ya upinzani hawezi kusema
Leo hawakutoa takwimu kuhusiana na swali walilouliza ikiwa Lowassa kuhamia UKAWA kutabadili siasa za Tanzania.
Wameishia kusoma meseji sita kwa uwiano wa 3:3 bila kutusomea asilimia kama siku zote.
Wajue tu kuwa ni maoni ya wananchi na si ya kituo. Hawakupaswa kuhofia
IPP yote ITV, EATV na magazeti yao wamenunuliwa na Lowasa tayari kwa ajili ya kumsafisha sasa itabidi kituo hiki kifungiwe kabisa.