ITV Kipima Joto: Matumizi ya Rasilimali - KATIBA

Mshume Kiyate

JF-Expert Member
Feb 27, 2011
6,766
894
Wana JF.

ITV kuna mada ya Katiba, matumuzi ya rasilimali katika katiba? Je yanakidhi haja?
 
kuna dogo wa kafu anatema cheche na kufunika upupu wa mzee wa magamba.

mtatiro tafuta mlango wa kutokea maana huyu jamaa anajua kujenga hoja kama mnyika.
 
Dr. Mvungi kampa za uso Dr.magamba kwa kumuambia 'tuna tatizo la kitaaluma'

baada ya hapo akaidisi vibaya hoja ya wamagamba kwamba katiba ya sasa inakidhi kwa kurejea kifungu cha 7 (2).
 
dah, huyu sijui dokta wa minyoo?

anashindwa kujenga hoja na kubaki kujisifia tu.
 
naona wote mnaomboleza mambo ya gadafi.

jamani kuna mtu huku anajiita dokta kutoka chama cha magamba anadai viongozi wanakosa maadili si kwa sababu ya katiba.
 
Huyu dogo wa CUF ndio leo namuona anaelezea vizuri sana katiba za nchi nyingine..

Mzee wa Magamba anajichanganya tu
 
Magamba kashindw kutetea hoja. anafoka tuuuuuuuuuuuuu

eti anajiita 'mchumi' ili Dr. Mvungi apunguze kumpiga za uso.

halafu analaumiwa kuingia na ilani ya chama wakati suala la katiba linahusu nchi na si chama.
 
Kwa wale wasiomfahamu Dr.Magamba (Kasoga) aliwahi kufanya kazi UDSM idara ya Uchumi, aliwahi kugombea na Charles keenja kura za maoni 2005 akabwagwa. Kiufupi sasa hivi anaganga njaa hana cha kufanya maana UDSM walishammwaga kwa hiyo anajipendekeza kwa watawala. Kama great thinkers tumchukulie Dr. Kasoga kama mchumia tumbo tu
 
Jamaa wa masuti kavamiwa na Mama wa Moshi .Nadhani huyu Dr ni mtupu kweli maana anafoka foka sijui katumwa na nani ?
 
suala la elimu ya uraia kuhusu katiba ni sawa lakini mimi kama mimi naamini mawazo ya msomi kama dr.mvungi ni sawa na mawazo ya watanzania 100000+. kama ilivo bungeni, tuwaachie wasomi kama kina mvungi watuwakilishe kudai katiba mpya badala ya kupoteza muda na fedha kutoa elimu ya uraia kinafiki.
 
Dr wa Magamba, hahahaaa nimeipenda hiyo.Ila sasa msimuite Dr. wa Mabamba halafu mumshangae kwa kutema Pumba...... Ndiyo kipaji chake.
 
dokta magamba anasema kudai katiba mpya kutaleta maafa.

da, jamani kazi ngumu sana kuwa mnafiki.
 
Kasoga ni mzee tumbafu sana .Yaani ukisha kuwa CCM akili zinakuruka unadhani umesoma shule ya kata na kutumia masaburi kuwaza.Ni mpuuzi hata hawazii wajukuu wake kesho ila anajiona yeye leo na masuti yake ya kushona Mwenye kituoni .
 
Back
Top Bottom