abackuk
Senior Member
- Jan 6, 2014
- 195
- 192
Azam tv hawajaitangazaimeisha mkuu.... tv zote zinamtangaza.

MozambiqueMkuu unaishi nchi gani?!!!
Mkuu sinaga interest ya kuangalia TV au kusikiliza radio so sikua na habari ukizingatia mm sio shabiki wa Magufuli na Makonda piaKwani sigara kali ulikuwa wapi?
Mkuu Pole sana pia karibu uraiani baada ya kumaliza kifungo chako segerea Makonda ndio kiranja wa Wakuu wa mikoa na ndio Waziri kuvuli wa mambo ya ndani si Lema tenaNauliza tu
Ile adhabu yake ya Kususiwa na wanahabari huyu makonda imeisha au bado ipo?
Naona ITV wametangaza habari ya jamaa kuzindua magari ya polisi kule Kilimanjaro
Halafu nauliza hili suala si ilibidi lifanywe na Nchemba na IGP sasa huyu bwana imekuaje kuaje kuingilia hizi mambo??
Nipo mjini ila sinaga interest na
Hujui kitu Wewe, kaa kimya!Nauliza tu
Ile adhabu yake ya Kususiwa na wanahabari huyu makonda imeisha au bado ipo?
Naona ITV wametangaza habari ya jamaa kuzindua magari ya polisi kule Kilimanjaro
Halafu nauliza hili suala si ilibidi lifanywe na Nchemba na IGP sasa huyu bwana imekuaje kuaje kuingilia hizi mambo??
Huyo ni kama asiye na wizara maalumu na mkoa maalumu. Anaingia na kufanya kazi popote kama pm au vp nini igp au waziri? Huyo anajua namna ya kuifunika 0 yake kwa kubuni vitu mbali mbali ambapo hata phd hawawezi. Anautumia vyema msemo usemao ELIMU NI UWEZO SIO VYETINauliza tu