Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 8,654
- 14,074
Huku mbeya utasikia mtu anasema "naenda kuangalia mpira kwenye Tifwii" π.Hadi TV za kawaida watu wakawa wanaita ITV.
Utasikia naenda kuangalia ITV.
Niliumia sana tulipo mlipa fundi kufunga/ kuchomelea Crystal kwenye TV tuner kupata sauti.Huo mwaka mzee alinunua tv,kipengele ikawa sauti,tukakomaa nayo mpk iliporekebishwa
Pale home TV ilianza kutumia mwaka huo huo kule tulikuwa na Mnet Enzi hizo.Kitu cha Hitachi inch 21.EGOLI ilianza kurushwa na ITV Julai 1997
Misaanyaa bingiiz mzee wa kipusa ππ ripJumatano ITV kuna kipindi cha Rastrus, Cha Reggae hicho. Mwendesha kipindi Misanya Bingi
Intro ni No woman no cry ya mzee Bob
Acha bwana.
Passions ebhanaee nimemkumbuka Timmy π lets go TimmyNimeangalia sana Mapambano ya Tyson tunaamka saa 10 alfajiri kwenda kuangalia kama 4km hivi kulikuwa na kama Bar hivi ,Tyson anamng'ata Evander Holyfield.
Nimeangalia sana Tamthilia ya Passion.
Bishanga Bashaija na kina Aisha.----Nyota Ensamble Rich Rich na Monalisa.
Tabitha ππPassions ebhanaee nimemkumbuka Timmy π lets go Timmy
View attachment 3610255
Mr and Mrs Fitzgerald πTabitha ππ
Miguel, charity et all
Yeah ,hiyo hiyo π₯ π₯Passions ebhanaee nimemkumbuka Timmy π lets go Timmy
View attachment 3610255
Mama yabgu mdogo huyo ajitoka mwanza kuja dar miaka ya 2000 mwanzoni utasikia washeni hiyo ITVπ€£π€£?! tunaenda ckekea chooniHadi TV za kawaida watu wakawa wanaita ITV.
Utasikia naenda kuangalia ITV.
Hii siyo Acapulco bayPassions ebhanaee nimemkumbuka Timmy π lets go Timmy
View attachment 3610255
Passions Thabita na Timmy hapoHii siyo Acapulco bay
Kitambo sana na bibi alikuwa mchawi huyu nae.Passions Thabita na Timmy hapo