ITV ilipofunguliwa mwaka 1994

Ni kweli ila kuna ile kitu tunaita voice quality Gondwe kawazidi wengi hasa akiwa anatangaza

Sauda na Betty walikuwa watangazaji wa kawaida sidhani hata kama wanamfikia Fatma Almasi Nyangasa hasa usahihi na shauku katika usomaji

Halafu Godwin Gondwe kaja juzi tu hapa 2000, kulikuwa na Julius Nyaisanga ,John Ngayoma in the 1990s.
 

Katuni za maana. Zamani mambo yalikuwa yametulia.
 
Kuna tamthilia ilikuwa inaitwa the neighbors...lenolens mzee wa pikipiki..tangazo la mafuta ya korie dogo mmoja anabugia vitumbua n.k
 
ngoja nikusaidie kumalizia hilo tangazo..."revora peke yake? ndio,kwani maisha yake ni utulivu na huniweka fresh mchana kutwa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…