ITV, Habari ya mama aliyetupa kichanga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ITV, Habari ya mama aliyetupa kichanga.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kaburungu, Apr 8, 2011.

 1. kaburungu

  kaburungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 989
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  Ni habari iliyoonyeshwa dakika chache zilizopita kuhusu dada aliyejifungua jana na kisha kumtupa mtoto chooni huko kibaha. Dada anaitwa Sada Rajabu, jamani sada kulikoni? Mungu ni mwema mtoto ameokolewa na ni mzima.
   
 2. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Hawa watu sasa watungiwe sheria itakayo wabana tena sana..2mechoka na huu upumbavu
   
Loading...