ITV acheni woga

ITV acheni woga

mbona mkulu anawaaamulia cha kuonyesha, je ni yeye pekee anayesikiliza habari?



Hivi unawezaje kumjibu huyo binti...!!?? Nikisoma comments zake huwa namuona kama haziko sawa kwa kichwa aisee...!! Nahisi ni zero brain completely...!!
 
Mtumikie kafiri upate mradi wako...Mengi amesoma Alama za Nyakati
 
Hata front page za Gazeti la Nipashe leo unaweza kuzani ni gazeti la Mzalendo.
 
Tangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk
BBC ni chombo kama TBC huko UK sema hakitumiki vibaya tu, acha ITV waume na kupuliza Sizonje hatabiriki uchaguzi wenyewe bado sana!!..
 
Kundi la wanahabari ni waoga sana.. Yani utafikiri watoto wanaolelewa na wazazi wa kambo..

Yani ni kama mfanyakazi mwenye elimu ndogo sana, hata ukimshushia mshahara wake anakubali tu!
 
Nadhani Watu watakuwa wameanza kuelewa kuwa Uhuru wa Habari wakat wa Jk ulikuwa ni utashi binafsi wa Rais sio ujasiri wa Waandishi
 
Tangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk
We waponze tu.
 
Jamaa wameripoti jeshi limelipa billioni 1 wakati jenerali amesema mchakato wa kuzipata wameachiwa wasaidizi wake jamaa waoga dunia nzima...
 
Watanzania jaman cjui ni wajinga kiasi gani kwa nn hapendi kuombea mema nchi yenu?
 
Mimi nilishaachaga huo ujinga wa kupoteza muda wangu eti taarifa ya habari,nikisha peruzi Jf,Twitter nikapita na fb kidogo kwa Tanzagiza na Malisa GJ basi habari zimenitosha,hizo za Tv pelekeni huko kolomije.
 
Back
Top Bottom