ITV acheni woga

Tangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk
Wanaogopa kumkasiri malaika mkuu wa magogoni.

Na yale madole yake anavyongea lazima waandishi wamsikilize Baba bashite.
 
Wanatumia ile principle inayosema mtumikie 'kafir' upate mradi wako...........
 
Hata mm nimewashangaa..Juzi baada ya biti la mkulu walirusha habari yake 8mnts. Vyombo vya habari fanyeni kazi yenu acheni woga
 
mimi pia nilikuwa napenda kutizama ITV kwa habari zilizokuwa balanced.
ila kwa hali ilivyo sasa napendekeza ikifika saa 2 usiku wangeunganisha tu na taarifa ya habari ya TBC 1 tuwe tunaona tu sifa za mtukufu.
halafu itolewe amri kila kituo cha TV kiwe na kipindi cha SHILAWADU kila siku.
 
Back
Top Bottom