ITV takataka TVTangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk

Wanaonekana vichaa wa lumumba tuVipi DJ mbowe hajaoneshwa Leo?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji85] [emoji85]mimi pia nilikuwa napenda kutizama ITV kwa habari zilizokuwa balanced.
ila kwa hali ilivyo sasa napendekeza ikifika saa 2 usiku wangeunganisha tu na taarifa ya habari ya TBC 1 tuwe tunaona tu sifa za mtukufu.
M.l.y.a cocoUsiwaamulie cha kufanya, wewe sio mwananchi pekee unayesikiliza habari wanazorusha.
Ha ha haUnataka wapelekewe bill na TRA au utawasaidia kulipa?
Pamoja dingiHa ha ha
Wochi itiSio woga ni "uoga".
Hawa Wamiliki wanawaza kwa sauti sasa hivi wapo njia panda muda wowote wanaweza kuletewa yule jamaa wa jeans ya LEE
Sasa habari za ITV zimetulia hazihitaji wanywa virobaTangu tishio la rais kuhusu wamiliki wa vyombo vya habari, taarifa za habari za itv zimekuwa za kuchosha kutokana kutangaza habari za kumfurahisha mkuu wa nchi tu.
Tumieni taaluma achaneni na wanasiasa watawapoteza. Igeni BBC, CNN nk