Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,406
- 5,031
Wadau hamjamboni nyote?
Nimaoni yangu kwa mujibu wa katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayonipa uhuru huo.
Ipo haja ya kutunga sheria maalumu ya kumlinda moja kwa moja Rais wetu dhidi ya maneno au matamko au kauli zinazokera na zisizo na uthitibitisho wowote
Naam sheria itakayotoa adhabu kali kwa wote watakaotumia vibaya uhuru wao wa kidemokrasia na kuamua kutoa kauli zisizokubalika dhidi ya Kiongozi wetu Mkuu.
Tutunge sheria hiyo mapema ili watu wasio na staha wajifunze kuwa na staha kwa kushikishwa adabu na sheria kali.
Ikiwezekana kuwepo pia na kikosi kazi maalumu kufuatilia utekelezaji wa sheria hiyo.
Ukienda Rwanda au Uganda huthubutu kutoa ulimi wako nje dhidi ya Rais kwani ni mamlaka ya juu kabisa ya nchi.
Tufanye hivyo mapema.