Tuombeeni tuhamie Dodoma kabla ya December mwaka janaKuiba ma trillions..
Afu kuwataka wamachinga walipie vitambulisho ambavyo kwa wengi tunadhani mnataka kuwatoza kodi…
Halafu mnasema tuwa ombee…
Kwa lipi?
Tuombeeni tuhamie Dodoma kabla ya December mwaka jana
Hahaha mkinyanyasa watu huwa mnajisikia raaahaaa sana eti?! Siku yako ikifika natamani niwepo nikuone unavyobembeleza kuhurumiwa.Kulipa kodi ni jukumu la mtu yeyote anaefanya biashara na serikari imekuwa more than fair kwa machinga or else kila mtu akikamtwa akiambiwa atoe risiti za manunuzi yake kwa sheria za kodi huo unakuwa mziki mwingine.
Machinga lazima alipe t/sh 20000 binafsi naona kama anachekewa maana ningekuwa kiongozi angekutana na rhumba ajawahi cheza maishani ambayo ingemfikia mpaka anaemtuma.
Kulipa kodi ni jukumu la mtu yeyote anaefanya biashara na serikari imekuwa more than fair kwa machinga or else kila mtu akikamtwa akiambiwa atoe risiti za manunuzi yake kwa sheria za kodi huo unakuwa mziki mwingine.
Machinga lazima alipe t/sh 20000 binafsi naona kama anachekewa maana ningekuwa kiongozi angekutana na rhumba ajawahi cheza maishani ambayo ingemfikia mpaka anaemtuma.
Aitofika kutokana na kwamba malengo ambayo yatanifanya mimi niwe ni mwenye fuhara ayahusiani na siasa.Hahaha mkinyanyasa watu huwa mnajisikia raaahaaa sana eti?! Siku yako ikifika natamani niwepo nikuone unavyobembeleza kuhurumiwa.
Unaelewa maana ya kukwepa kodi au bidhaa zinazotakiwa kulipiwa? Machinga anabeba ngapi na VAT analipia wapi?Umeielewa hii mada?👀👀
Halafu huyo machinga unampeleka wapi ukimtoa barabarani?! unadhani walioko madarakani hawafahamu unachokiongea? Tizama, bidhaa zote zinaingia kutoka nje ya nchi zinapitia bandarini, wakitaka wacharge kodi muda huo ili watu wafanye biashara kwa uhuru, lakini wanakata kodi bidhaa inapoingia nchini, ikiwa dukani, na sasa wanmtaka mnunuzi naye aonyeshe receipt, kwani kunamtu anapewa bure?Aitofika kutokana na kwamba malengo ambayo yatanifanya mimi niwe ni mwenye fuhara ayahusiani na siasa.
However
Machinga anaebeba bidhaa zenye tozo ya VAT anaipotezea serikari mapato
Machinga anamfanya mfanyabiashara pengine akwepe kodi kama bidhaa anapewa kwa mlango wa nyuma
Machinga ni muhujumu uchumi.
Sasa mie siku nikimkata wala sichukui mzigo wake nataka anipe risiti tu ya manunuzi yake halafu nione huyo aliemuuzia kama analipa VAT ya serikari na hayo mauzo yapo kwenye kodi.
Believe me akutakuwa na machinga barabarani hawa ni watu ambao wanafanya serikari kukosa kodi zao na awana impact kwenye circular flow, serikari kuwataka walipe tsh 20000 kutaka watu wale kwa gharama zao.
Machinga alipe tu hiyo hela msimuongopee mwishowe aishie lupango na kukosa mlo wakati sheria ikichukua mkondo wake hamna wa kumsaidia serikari imeakuwa more than fair kwao.
Inawezekana unaulizwa swali ambalo jibu lake wewe mwenyewe hujui.Again nakuuliza umeielewa hii mada?
. Kuna habar gani?Kuiba ma trillions..
Afu kuwataka wamachinga walipie vitambulisho ambavyo kwa wengi tunadhani mnataka kuwatoza kodi…
Halafu mnasema tuwa ombee…
Kwa lipi?
Achana na watu wanaoshabikia wezi.Umeielewa hii mada?👀👀
Ndugu this is not an emotional issue, its a matter of law.Halafu huyo machinga unampeleka wapi ukimtoa barabarani?! unadhani walioko madarakani hawafahamu unachokiongea? Tizama, bidhaa zote zinaingia kutoka nje ya nchi zinapitia bandarini, wakitaka wacharge kodi muda huo ili watu wafanye biashara kwa uhuru, lakini wanakata kodi bidhaa inapoingia nchini, ikiwa dukani, na sasa wanmtaka mnunuzi naye aonyeshe receipt, kwani kunamtu anapewa bure?
Roho mbaya haitakusaidia hata siku moja, uonevu sio na haujawahi kuwa kitu kizuri.
Inawezekana unaulizwa swali ambalo jibu lake wewe mwenyewe hujui.
The premise of your question doesn't lead to justifiable conclusion.
Vitambulisho ni alternative ya kodi kwa upande wa serikari.
Sema kama unataka upewe elimu ya kodi