Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,712
Kwa maelezo haya Kasie unautaka uzee kwa nguvuuuuu, kwanini lakini? Inawezekana kabisa Manengelo yupo sahihi kuwa wewe bado ni kijana mwenzetu tu! Hahaha
Sio mbibi huyo anakuzengua tu!ni mdada..hata madam ritha mkubwa sana kwake!