Its the beginning of love between C and K

Its the beginning of love between C and K

Hahahah enjoy mahabat .

Toto la kinyamwezi

Aahahaaha Mazigaziii

Asantii mahaba hapa ndo nyumbani kwake naneng'eneka nayo tuu.

Nakuitika mnyamwezi mie mwenye mambo kedekede...
 
Huyo Mnyamwezi nadhani, si msukuma wa kawaida hahaha!

Ahahahahhaa hukumuelewa Manee, mie ni mnyamwezi sawaa ila uliposema kuwa achukue maujuzi ya kigagula Kasie ndo akakujibu kuwa msukuma na mahaba wapi na wapi, akimaanisha yeye Manee ni msukuma...

Nikisoma ID yako namkumbuka Texas Ranger...
 
Hhaaa hana uzee wwte anakudanganya tu!msukuma na mahaba wapi na wap best!btw bado uko kule?

Aahahahahaha Maneeeee, ujue Mungu anakuona.... sambi sako mwenyeweee aahahahahhaaaa

Usiwalishe wenzio matango porii, Kasie ni kigagula kizee kibibi bin kiajuza...

Badilisha basi kauli yako tasavali ili wakuamini upya kuwa Kasie ni mzee bin nzee aahahahahaa
 
😅😅😅!ukweli ndo huo sisy!
 
Ni balaa na nusu huyu Kasie, Manengelo chukueni maujuzi yake yote, si unajua anazeeka huyu hahahaha

Ahahahahahaa looh, Ford naku zoom ujue, kwani user name yako ya zamani ilikuwa inasomekaje kabla hujabadili kuwa Ford Range???

Balaa na nusu umelisoma na kuliona wapi bestie??

Kasie ni kigagula sema kina Matata hatariii ahahahhaaa. Bila hiyana ujuzi wangu uko wazi tuu wenye kuwafaa wako huru kuubeba na kuuishi kwa minajili ya afya na mustakabari wao.

Matata the K.
 
Ahaa kumbe, kwa hiyo baharia kwa kikristo anaitwaje? Halafu hiyo mdogo wangu inatoka wapi? Kwani unataka kuninyima nini?
Ha ha ha ha ha kwan wewe sio mdogo wangu? Mie nshakunyima tu hcho hcho ha ha ha ha, Baharia kwa kikristo anaitwa Sailor
 
🤔🤔🤔!kwamba!hhaahah...!naheshimi mawazo yako sisy..mie ni nan had niumie kiachana na kaka yangu😄!salimia shemegi!

Kwani leo asubuhi ulikula nini Manee maana looh sio kwa huu ujio aahahahahahahahaaa.

Kwani, kaka yako ambaye umekataa kumtaja alikwambia mie ndo kipenzi chake humu JF?? Ujue alikuwa anakudanganya sababu mie hakuwahi niambia kama ana mdogo wake humu wala ndugu hata kama ni binamu, itakuwa alikuwa anatoka na mtu mwingine humu akakudanganya kuwa ni Kasie. Sasa ukisema kaka kaka napata wasi kidogo... eehehehehee usisikitike kaka yako alikudanganya. Na kama ambavyo jani hudondoka mtini pake likinyauka ndivyo ilivyokuwa, kigagula kanyauka kwisha habari yake.

Kufika ardhini kumbe ardhi inamhitaji kama mbolea, mara kigagula kawa deal, hotcake, mahaba yakaibuka upya... na hapo ndo ule usemi wa Ukimuona wa nini wenzio wanasma watampata lini ukaibuka.....

Hapana chezea Captain, shurti kuindesha Meli ya MV Mahaba Matata aahahahaahaa

Shida yangu ndo hii, naongea weeehhh hata nisivyoulizwa khaa, Kigagula kawa Mbolea aahahahahaa nimekufa nimeoza ardhini eehehehehhehee.

Matata the K.
 
Ahahahahhaa hukumuelewa Manee, mie ni mnyamwezi sawaa ila uliposema kuwa achukue maujuzi ya kigagula Kasie ndo akakujibu kuwa msukuma na mahaba wapi na wapi, akimaanisha yeye Manee ni msukuma...

Nikisoma ID yako namkumbuka Texas Ranger...
Lakini wasukuma wa siku hizi wanayajua haswaa, si unajua wanasambaa kwa kasi nchi nzima? Kwahiyo Manengelo usitake kujifanya kuwa msukuma wa mwaka 47 chukua madini na uongeze kwenye ujuzi wako kutoka kwa The old granny K Matata. Hahahaha
 
Ha ha ha ha ha kwan wewe sio mdogo wangu? Mie nshakunyima tu hcho hcho ha ha ha ha, Baharia kwa kikristo anaitwa Sailor
Huwezi kuninyima kirahisi rahisi namna hiyo [emoji3][emoji3]
Ahsante kwa kunijuza
 
Aahahahahaha Maneeeee, ujue Mungu anakuona.... sambi sako mwenyeweee aahahahahhaaaa

Usiwalishe wenzio matango porii, Kasie ni kigagula kizee kibibi bin kiajuza...

Badilisha basi kauli yako tasavali ili wakuamini upya kuwa Kasie ni mzee bin nzee aahahahahaa
Kwa maelezo haya Kasie unautaka uzee kwa nguvuuuuu, kwanini lakini? Inawezekana kabisa Manengelo yupo sahihi kuwa wewe bado ni kijana mwenzetu tu! Hahaha
 
Ahahahahahaa looh, Ford naku zoom ujue, kwani user name yako ya zamani ilikuwa inasomekaje kabla hujabadili kuwa Ford Range???

Balaa na nusu umelisoma na kuliona wapi bestie??

Kasie ni kigagula sema kina Matata hatariii ahahahhaaa. Bila hiyana ujuzi wangu uko wazi tuu wenye kuwafaa wako huru kuubeba na kuuishi kwa minajili ya afya na mustakabari wao.

Matata the K.
Kasie, sijawahi badili user name, JF nipo mwaka wa 3 kama member though nilikuwa msomaji tu wa kawaida kwa muda wa miaka kadhaa, yule unayemdhania siye!

Balaa na nusu lipo kwenye nyuzi zako zote unazopandisha hapa JF, joto tunapata sisi wasomaji kama Manengelo alivyosema hapo juu.
 
Huwezi kuninyima kirahisi rahisi namna hiyo [emoji3][emoji3]
Ahsante kwa kunijuza
Ha ha ha ha h aunataka nikunyime kwa maandamano kumbe enheee? We mdogo wangu tu wala usjal...
 
Lakini wasukuma wa siku hizi wanayajua haswaa, si unajua wanasambaa kwa kasi nchi nzima? Kwahiyo Manengelo usitake kujifanya kuwa msukuma wa mwaka 47 chukua madini na uongeze kwenye ujuzi wako kutoka kwa The old granny K Matata. Hahahaha

Mie labda anifundishe tu kula bata la kimataifa😅!mahaba mm siyataki kbs!..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom