Yani hata mimi nawaza sana naona kuna watu wanafaidi watu hapa duniani.
Hahahaha, Najishtukia kusema K Matata. Acha wakubwa wafaidi tu.Ooohhh, I hope everything is okay.
Wishing you all the best.
Matata the K.
HallelujahAmani iwe nawe milele.
Hiyo mistari ya mwisho imenipa relief "Kama hujawahi kufaidi kabisa maishani mwako, amini ipo siku utafaidi tuu" Thank you K Matata.Wait, ngoja nikuulize swali, ukiona kuwa kuna watu wanafaidi kwa mtu mwingine, je. kuna watu wanafaidi kwako? au wewe unafaidi kwa nani?
Maisha ni mzunguko, leo kwangu kesho kwako....
Kama hujawahi kufaidi kabisa maishani mwako, amini iko siku utafaidi tuu.
Hahahahah hii avatar ina malengo maalum [emoji28]ya masuala fulaniAhahahahahaa Mazigazi wkanza umebadilisha avatar umebadilika banaa, rudisha ile ile ya zamani ndo nimekuzoea hii unaonekana mpyaa.
Huyu curtis ni memba wa humu JF? Ndo nani mbona simfahamu?
Acha uchokozi C stands for Captain Babe Love...
Matata the K.
Hahahahah hii avatar ina malengo maalum [emoji28]ya masuala fulani
Ile watu walikuwa wanatishika [emoji12]
Sasa kama sio C FOr Curtis umesema Captain [emoji44]basi atakuwa yule mjeda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani hata mimi nawaza sana naona kuna watu wanafaidi watu hapa duniani.
Sasa mie simjui kaka yako ni yupi.....
Okay, hakuna mbaya wala tatizo.... nikiwa soba kabisa bila kujiunga na kifurushi chochote kile cha kimiminika...
C stands for Captain who is Kasie's Mahabat, he is the one who drives the Old Granny Kasie wet and wild....
As long as hujasikia nikitaja jina linaanziwa na D, just know that Captain is my Current Internal Affairs.
NB: Sitajagi mtu maksudikale, naheshimu kila mmoja na kila mtu anahitaji maisha yake yaendelee vile anapenda.
cc: Khantwe
Matata the K.
Hivi captain ndio baharia kwa kiswahili?Mdogo wangu mie nshasema nikiwa mkubwa ntakua Captain tu hakuna namna...
Nadhan ndo wale wale tu Nahodha ndo muendesha chombo, so naye ni bahariaHivi captain ndio baharia kwa kiswahili?
Ni balaa na nusu huyu Kasie, Manengelo chukueni maujuzi yake yote, si unajua anazeeka huyu hahahahaUkisoma nyuzi za sisy kassie akiwa ana mood zake joto unaliskia wewe msomaji[emoji133][emoji133]
OohNadhan ndo wale wale tu Nahodha ndo muendesha chombo, so naye ni baharia
Hhaaa hana uzee wwte anakudanganya tu!msukuma na mahaba wapi na wap best!btw bado uko kule?Ni balaa na nusu huyu Kasie, Manengelo chukueni maujuzi yake yote, si unajua anazeeka huyu hahahaha
Ha ha ha ha ha ha we ni chizi sana Captain ni Nahodha Mdogo wangu (Kama ni wa Meli)Hivi captain ndio baharia kwa kiswahili?
Ahaa kumbe, kwa hiyo baharia kwa kikristo anaitwaje? Halafu hiyo mdogo wangu inatoka wapi? Kwani unataka kuninyima nini?Ha ha ha ha ha ha we ni chizi sana Captain ni Nahodha Mdogo wangu (Kama ni wa Meli)
Huyo Mnyamwezi nadhani, si msukuma wa kawaida hahaha!Hhaaa hana uzee wwte anakudanganya tu!msukuma na mahaba wapi na wap best!btw bado uko kule?
Hahahah enjoy mahabat .Ahahahhahaa Mazigazi sio bure unalengo la kunichokoza tuu....
Captaion is Nahodha and not anyone else aahahahhaa
Hayo masuala yako flani ya kubadili avatr nayafatilia kwa ukaribu, natumai hayana madhara kwa jamii...