Its Only Love, I did All This for Love...

Kasie na mahaba yake..😍😍😍...
Wivu umenipata , kiroho chaniuma hapa
 
umeshikamana na sufuria,ukiwa umeiva vizuri huwa haushikamani na sufuria

Weeh mie mnyamwezi, nasonga ugali wa mahindi yaliyochanganywa na karanga, maji ya kupikia ugali nayakoroga na asali.

Muonekano wa huo ugali hauwezi kufanana na ugali unaosongwa huku duniani wa maji na unga wa mahindi tuu.....

Hapo umeiva sawiaaa tena mtamuuu....

Kasie Foodie Artist.
 
Kunjaanii,

Time flies and days are numbered like ages...
Keeping in mind this year we have an election as a country, by blinking of na eye you'll be suprised October have arrived.

Leave the salutation apart, back to the topic.... Love... Only Love drives Kasie to be Mahaba Lady....

Basi bwana mwezi wa malavidavi ndo huu, huku na kule kilongalonga kinaita... Kasiba where you at...!!?? (Puzzled and think what to say..)

I say home, then he said, am coming home Baby Kasiba... Please prepare me some delicious African food, I won't eat anything onboard waiting to taste your magical hands.....

Aahahahahahhaaa ananiudhigi but he knows where the buttons are, he knows the right time to press those buttons and I found myself melting in love.... It's only love that can do....nothing else I said to him than three words.....I Love You...!!

Ghafla mtandao ukakata, mtoto wa kike nikaingia bafuni nikaoga nikaenda sokoni. Niliporudi nikaingia tena bafuni nikaondoa jasho la sokoni kisha nikaingia jikoni, akili inaniambia chakula kitamu cha kinyumbani....

Huku na kule hapa na pale nikaivisha msosi wa kwanza, simple but tasty...

View attachment 1351382

View attachment 1351385

Nikakitizama chakula mahaba yakaniongezeka, nikafungua friji nikaanza fujo upya aahahahahaa

Ile kuambiwa nna magical hands bichwa likawa kuubwaa kama nanilii aahahahahaahaa.

Basi bwana, baada ya kupiga round kadhaa pale jikoni mambo yakawa hivii....

View attachment 1351386

View attachment 1351387

View attachment 1351388

View attachment 1351389
Mzuzuu, so yummy...

At the airport I raise my hand to shake with his, he just say come on hug me, aren't you missing me......

I just stay calm smiling and flow wherever he takes me....

Kwa yeye kuwa mfalme nimekuwa malkia, malkia mwenye mahaba Matata....

I did all this for Love, my love to him... Only Love...

To him, I can't say no, Karibu sana nyumbani Mahabuba.

Mmmuaah!!.

Alnuru kwenu nyote.

Nilishaga kutongoza ila hutaki kilichobaki imebaki nafasi ya kuumiza mtima wangu! Napenda kula tena hilo mboga la kwanza duh!😜
Wewe mbibi ntakuendea kwa mshana inaitwa funga kazi afe punda lkn lazima ubwebwe!
Haiwezekani nikose yote uliyonayo! Nikikupata hutakula mbatata,ntakufanya pakacha
Kwa miondoko swadakta!

Ukilia nywii nakujaza ndwii!!
 
Kasie na mahaba yake..😍😍😍...
Wivu umenipata , kiroho chaniuma hapa

Abeeeh

Wivu ni kidonda dear, kipake JV kipone au maumivu yapungue.

Usiumie mwaya, muendee hewani mwandani wako, huu mwezi una upako wa malavidavi.... toss your die and count the dots.

Cheers.

K' Mahaba.
 
Weeh mie mnyamwezi, nasonga ugali Wa mahindi yaliyochanganywa na karanga, maji ya kupikia ugali nayakotoga na asali.

Muonekano wa huo ugali hauwezi kufanana na ugali unaosongwa huku duniani wa maji na unga wa mahindi tuu.....

Hapo umeiva sawiaaa tena mtamuuu....

Kasie Foodie Artist.

Nilitaka kushangaa mnyamwise gani hutumii karanga 😊😊😊

siku ukipika nsansa unikaribishe lakini
 
Dah! Nyie ndio huwa hata maji ya kuoga sio mnachemsha Bali mnapika!!😂
 
Kunjaanii,

Time flies and days are numbered like ages...
Keeping in mind this year we have an election as a country, by blinking of na eye you'll be suprised October have arrived.

Leave the salutation apart, back to the topic.... Love... Only Love drives Kasie to be Mahaba Lady....

Basi bwana mwezi wa malavidavi ndo huu, huku na kule kilongalonga kinaita... Kasiba where you at...!!?? (Puzzled and think what to say..)

I say home, then he said, am coming home Baby Kasiba... Please prepare me some delicious African food, I won't eat anything onboard waiting to taste your magical hands.....

Aahahahahahhaaa ananiudhigi but he knows where the buttons are, he knows the right time to press those buttons and I found myself melting in love.... It's only love that can do....nothing else I said to him than three words.....I Love You...!!

Ghafla mtandao ukakata, mtoto wa kike nikaingia bafuni nikaoga nikaenda sokoni. Niliporudi nikaingia tena bafuni nikaondoa jasho la sokoni kisha nikaingia jikoni, akili inaniambia chakula kitamu cha kinyumbani....

Huku na kule hapa na pale nikaivisha msosi wa kwanza, simple but tasty...

View attachment 1351382

View attachment 1351385

Nikakitizama chakula mahaba yakaniongezeka, nikafungua friji nikaanza fujo upya aahahahahaa

Ile kuambiwa nna magical hands bichwa likawa kuubwaa kama nanilii aahahahahaahaa.

Basi bwana, baada ya kupiga round kadhaa pale jikoni mambo yakawa hivii....

View attachment 1351386

View attachment 1351387

View attachment 1351388

View attachment 1351389
Mzuzuu, so yummy...

At the airport I raise my hand to shake with his, he just say come on hug me, aren't you missing me......

I just stay calm smiling and flow wherever he takes me....

Kwa yeye kuwa mfalme nimekuwa malkia, malkia mwenye mahaba Matata....

I did all this for Love, my love to him... Only Love...

To him, I can't say no, Karibu sana nyumbani Mahabuba.

Mmmuaah!!.

Alnuru kwenu nyote.

WAKUBWA WANAFAIDI SANA
 
Aahahahahahaa unanionea Kunta...

Naanzaje kukuacha kwenye mataa wakati nimejaa tele humu kama pishi la mchele?

Aahahaaahahahahahaa Part 3 looh majaribu haya hakyanani...

Mie sio sugars banaa mie ni kizee tuu, utamu kwishney..

Itabidi hiyo part 3 nikusimulie ana kwa ana, fanya hima.
Utamu wako hauwezi kuisha kirahis hivyo bana hata hivyo ng'ombe hazeeki maini

Itakuwa poa sana ikiwa ana kwa ana fanya iwe hata kesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilishaga kutongoza ila hutaki kilichobaki imebaki nafasi ya kuumiza mtima wangu! Napenda kula tena hilo mboga la kwanza duh!😜
Wewe mbibi ntakuendea kwa mshana inaitwa funga kazi afe punda lkn lazima ubwebwe!
Haiwezekani nikose yote uliyonayo! Nikikupata hutakula mbatata,ntakufanya pakacha
Kwa miondoko swadakta!

Ukilia nywii nakujaza ndwii!!

Aahahahahahaahahahahahaaa Kenzy......

Umenichekesha ujue.....

Ati Mshana Jr utashiriki hiyo hatua ili nibebwe na Kenzy....!!???

Fanya hivi, andaa mazagazaga ambayo unahamu ya kuyachakata siku hiyo, kisha mapema bin asubuhi mie kafika eneo la tukio nakuandalia mlo kamili uupendao. Ila tuu nachelea kusema kama kulishwa itakuwepo...

Hapo tena ukisema sitaki utakuwa umenionea....

K' Mahaba.
 
Nilitaka kushangaa mnyamwise gani hutumii karanga 😊😊😊

siku ukipika nsansa unikaribishe lakini

Eeheheheheee ngoja nimpigie shangazi wa Uyui aniandalie nsansa na nswalu. Nikizipata ntapika nikukaribishe jikoni kwa Kasie.

K' Mahaba Matata.
 
Dah! Nyie ndio huwa hata maji ya kuoga sio mnachemsha Bali mnapika!!😂

Aahahahahajaa naam, na chai inakwaangwa sio kuchemshwa tuu....

Karibuu.
 
Aahahahahahaahahahahahaaa Kenzy......

Umenichekesha ujue.....

Ati Mshana Jr utashiriki hiyo hatua ili nibebwe na Kenzy....!!???

Fanya hivi, andaa mazagazaga ambayo unahamu ya kuyachakata siku hiyo, kisha mapema bin asubuhi mie kafika eneo la tukio nakuandalia mlo kamili uupendao. Ila tuu nachelea kusema kama kulishwa itakuwepo...

Hapo tena ukisema sitaki utakuwa umenionea....

K' Mahaba.
Utaiweza miondoko yangu wewe..?
Kuna staili inaitwa ukisimama nchale ukikaa nchale😜 au unataka nifunguliwe kesi ya kuvunja kiuno cha mbibi...?
Si tu unakuja kupika tu,Bali utapika ntakula chakula nitamla na mpishi wa chakula!! Jiwe moja litakalo tungua ndege wawili.. na hakika hautaondoka bure mimba itakuwa zawadi yako! Mi ndo mchokozi wa vilivyo lala! Haijalishi umri wenyewe huita big results now😂😂
 
Aahahahahhahaahahaa abeeeeh Kiasali, wajionaje na hali?

Yaani hapa nimechokaa macho nayafumbua kwa hisani ya wiper laah yananing'inia nusu mlingoti. Ugeni umenishughulisha mwanamke nikashughulika looh!
OooooopssssssSSSSSSS$$$$$$$$$$....kiasali asali ni tamu wajameni wuuuuooiiiiiii!!
 
Back
Top Bottom