we mambo ya kuniita majina ya kihuni sitaki....halafu mbona ukaniambia ukitoka kwenye msiba utapita home na hukuja? au ulienda kulala ilemela kwa mtoto wa kichaga? kesho huendi mzigoni tuonane? kuhusu shemeji yako charminglady utamfahamu taratibu tu usiwe na hofu...

nadhani niko tayari twende kwa lawyer ruttashobolwa. au sio mpenzi charminglady, japo nna wasiwasi leo sio siku ya kazi....
Mwe!! Mwe!! Mwe!! MtotoSix
Ngoja wakati ndio sasa atoke Segerea ndipo utakapoona utamu wa mke wa mtu
samahani mzee wa buzer,nini kinaendelea humu,na huyu charming lady ndio nani maana namuona sehemu nyingi sana na yukoje?does she fear God?
wanaume uwa hatupigani kwa sababu ya mwanamke hata siku moja, akitoka jela atapata jibu la wazi kutoka kwa charminglady. mi ntakaa kimya!
we mambo ya kuniita majina ya kihuni sitaki....halafu mbona ukaniambia ukitoka kwenye msiba utapita home na hukuja? au ulienda kulala ilemela kwa mtoto wa kichaga? kesho huendi mzigoni tuonane? kuhusu shemeji yako charminglady utamfahamu taratibu tu usiwe na hofu...
Sasa mbona tumebaki peke etu tu shem kakimbia anaona aibu ama,mwambie asinionee aibu coz hiyo mimi ni mshenga to be,
mh? Goodmorning my love charminglady ulichonipa usiku wa kuamkia leo kitaendelea kukumbukwa kwa kipindi kirefu cha mahusiano. Nadhani leo ntashinda kitandani tu mama sina hamu hata ya kunyanyuka. Sijui kwa nilikuwa sijakupata muda wote huo
najisikia mwepesiiii hata sina hamu ya kuamka natamani niendelee kujibwaga hapa
itabidi nifanye michakato haraka, maana tangu nizaliwe sijapata kukutana na shughuli kama yako afu unaniambia ndo kwanza manyunyu....
sihusiki na zengwe lolote, basi tu mtoto charminglady kaamua kunitunukuVp mkuu kwani yuko kifungoni!!?? kama ndo hivyo basi itakuwa zengwe limepandikizwa na mtoto six!