na wewe hupendi weupe?
orait orait....nasubiri PM yako!!Yeyote mimi pia ni mweupe
hahahaha kuna thread kule F.Lady kawajia juu watu weupe...ngoja niende nae pm kwanza nijue bahati itanidondoke sijui?vipi, wewe mweupe so unahic utapoteza hiyo bahati?....mdada kuwa makini tu na kitu kimoja wanaweza pia kuvua hizo pete na kudai bado wapo wapo ili watimize cha kutimiza, otherwise...goodluck!
hahahaha kuna thread kule F.Lady kawajia juu watu weupe...ngoja niende nae pm kwanza nijue bahati itanidondoke sijui?
My prayers, dreams and wishes are to get mchumba and Mume at JF naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili ID nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.
Jiandae kujaza PM yako muda si mrefu
my prayers, dreams and wishes are to get mchumba and mume at jf naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili id nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.
mmmmmh DA, umeshafika huku mama?
Yeye si kasema hataki kuona pete mkienda kwenye ki date!!hujamaliza vigezo...pete?