Its my dream and Wish

babylove

Member
Oct 13, 2009
59
5
My prayers, dreams and wishes are to get mchumba and Mume at JF naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili ID nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.
 
na wewe hupendi weupe?

vipi, wewe mweupe so unahic utapoteza hiyo bahati?....mdada kuwa makini tu na kitu kimoja wanaweza pia kuvua hizo pete na kudai bado wapo wapo ili watimize cha kutimiza, otherwise...goodluck!
 
vipi, wewe mweupe so unahic utapoteza hiyo bahati?....mdada kuwa makini tu na kitu kimoja wanaweza pia kuvua hizo pete na kudai bado wapo wapo ili watimize cha kutimiza, otherwise...goodluck!
hahahaha kuna thread kule F.Lady kawajia juu watu weupe...ngoja niende nae pm kwanza nijue bahati itanidondoke sijui?
 
My prayers, dreams and wishes are to get mchumba and Mume at JF naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili ID nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.

kila la heri babylove, lakini kuna thread humu zinasema wanaume weupe, wafupi .k. hawafai!sasa sijui wewe vipi?
 
Heheheeeee...
Wapi pete yangu....sijui nimeiweka wapi aisee....
Babylove ntaku-pm soon...
 
my prayers, dreams and wishes are to get mchumba and mume at jf naamini nitafanikiwa especially those funny and cute guys wa jukwaa letu lileee. Kuna mmoja tulielewana sana kirafiki kukutana nikamwona anapete ikawa ndio hivyo tena. Sijakata tamaa nikipata mume hapa nitafurahi nitabadili id nitaweka jina langu halisi. Ukiniuliza sababu sina nimapendekezo yangu tu na nayaheshimu.

mh wachumba wa humu? Mara mc huyo!
 
sijui kwa nini lakini najikuta kama nakuonea huruma hivi......
i could be wrong but
nahisi kumegwa utamegwa na mume usipate but........
just ignore me na endelea na mpango wako....
all the best......
 
Mmmmh,mimi watu wa kutafuta uchumba mitandaoni mmmmmmmmmmmmmmmh??????
Nawaogopa kama ukoma
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom