Hahahahahaa! Mwenzio nakula bata hapa teh! watotowasikuhizi.com
Happy birthday buddy!
Karibu Taska Malti.
Mama kanipigia simu kanambia shughuri ya labour ilikua ni saa 9 mchana, party mida ya saa 1 jion, place mtajulishwa. Hahahaha!Happy Birthday Gagurito! Mungu akupe miaka mingi ya baraka tele na amani.
Sasa ulikuwa tangu asubuhi.............sherehe tutaandaa saa ngapi sasa???!!!
jamani mwenzeni leo ni birthday/siku yangu ya kuzaliwa. Nashukuru kwa kuwa nami karibu, kwa ushauri na mafunzo mengi mnipatiayo kupitia jamvi letu hili. Nafurahi sana kwa ukaribu na ukarimu wenu kwangu na kwa member wengine wote. Tumwombe mungu atujalie uzima, afya njema na maisha marefu, naimani michango yetu itatujenga na kutuboresha zaid. Nawapenda sana ndugu zangu!