nikaanza kuiforward ile text kwa watu, majibu niliyojibiwa ni kizungumkuti kitupu.ah ah ah mm mwenyewe najifunza uncle,hela ya british councel kushnehi,kwann ukitumiwa text hujib uncle?
ah ah ah mm mwenyewe najifunza uncle,hela ya british councel kushnehi,kwann ukitumiwa text hujib uncle?
kibao cha nazi
hakuna kiingereza chake....
wewe sema hivyo hivyo kibao cha nazi.
labda coconut's excrator....
Boss we ni mzungu eeeh?? lakini unakijua kiswahili
kibao cha nazi
hakuna kiingereza chake....
wewe sema hivyo hivyo kibao cha nazi.
labda coconut's excrator....
hahahahaaaa! hiyo inaitwa grater! (sijui kama kiinglish kimekaa sawa hapo)
coconut grater.
maambo mrembo????
natazama pm nikute japo hi,siioni.
mi mswahili,kiingereza chenyewe cha ugoko,,,
lakini hivyhivyo.....
hahahahaaaa! hiyo inaitwa grater! (sijui kama kiinglish kimekaa sawa hapo)
coconut grater.[/QUOTE]
pale buguruni mwl alituambia ndo inaitwa hivo......usikute tulisoma wote pale gkundi!!
mm wa St. government bana!thx dia at lest ww umesoma FM Academia,mm nilisoma msondo ngoma
same here...nimesubiri weeeeeeeee PM wapiiiiiiiiiiiiii
sijambo handsome, leo napata somo la kiinglish hapa...maana shule za kata siunajua
hahahaa!hahahahaaaa! hiyo inaitwa grater! (sijui kama kiinglish kimekaa sawa hapo)
coconut grater.[/QUOTE]
pale buguruni mwl alituambia ndo inaitwa hivo......usikute tulisoma wote pale gkundi!!
wapi bana, mwl wa buguruni mbona alituambia inaitwa the wood for scraching coconut
Napenda sana kujifunza Lugha,sasa kingereza kwangu ni lugha ya 3 kujifunza,nikianza na lugha yangu ya kimpoto,kiswahili alafu kingereza,sasa kuna maneno yananitatiza sana kutoka kiswahili to kingereza,kwa mfano:
-kibao cha nazi
-kumvalisha kofia/mwnamke/mwanamme
-mtoto anatema udenda
-kujichokonoa meno
-kumpakata mtoto
Nahitaji msaada wa kujua maneno haya kwa kingereza tafadhali.
kila nikitafuta kingereza cha - kumpakata mtoto sipati majibu fasaha mie hii ni lugha ya nne kama alivyosema madame pale juu huwa najaribu kuunga unga ..kidogo
let me try
1.embrace a baby
2. Hold a baby