It's me, Rose

Nataka niliwekee sofa mpya hilo gheto lako,nipm

Sent from my Infinix_X521 using JamiiForums mobile app
Jamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.
Vinginevyo utakuwa umekosa blessings za mama
 
Acha kumtaja taja kaka angu mshana jr ntamwambia aliamshe dude ohooooo
aaaaa haniwezi weewe. n
yule kwangu ni kama mkate kwenye chai.. nikisema tu fayaaaaaa. chomaaaa.. wote wanaungua
 
Jamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.
Vinginevyo utakuwa umekosa blessings za mama
rose naomba unichum hata nusu tu roho yango itulie
 
Alafu tunajaza apa uzi wa watu ndo kwenye ule wako tuongelee mambo yetu...sikujibu tena apa[emoji137]
unaondoka kwenye huu uzi? basi nakuja ngoja nimsalimie rose kwanza. hapa ulikuwa unanizibia rizki
 
Jamani, kubadili kwanza pale kijini kwa mama kwanza Kisha njoo kwa Rose Montana Nazjaz.
Vinginevyo utakuwa umekosa blessings za mama
Mm kweli noma akabadili kwanza kwa bimkubwa kijijini sigimbi.

Sent from my TRENDY using JamiiForums mobile app
 
Dude lishachaji huku, sijui litatulizwa vipi, Nazjaz eeeeh, sio poa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…