It's mayweather jr 48-0

It's mayweather jr 48-0

Question:
On your job is it the man who works the hardest who goes up the ladder or the one who works the smartest making the company money??......case closed.. Manny worked hard no doubt, can't take that away from him tonight but Floyd was smarter! Th
e smarter boxer won the match.

IF the fight was suppose to be a street fight in the streets perhaps Manny would win..BUT to beat a man in the sport of boxing you must BEAT him---doesn't matter if he runs or flys you are in the ring to WIN. Manny didn't do that. Floyd won the Boxing match which is scored by punches landed & percentages---SKILL...lets just be fair & stop using excuses. 48-0 speaks volumes.

Critical analysis
 
Pacquiao amepigwa lazima tuache ushabiki nakuwa wakweli kwa nafsi zetu. Angalia post match conference kwenye youtubemwenyewe Pacman anasema, ‘’my best wasn’t good enough’’, na anaendeleakulalamika kuwa alikuwa ameumia bega.Pacquiao amejiunga na waashabiki wakedunia nzima kulalamika kuwa Mayweather alikuwa anakimbia, but hasemi yeye alikuwaanafanya nini ulingoni? Washabiki wa pacquiao tuambieni pac,man alikuwa anafanyanini ulingoni . Meyweather is TBE, ameweza ku-dictate mchezo kama alivyofanyadhidi ya Maidana, Marques, Miguel Cotto, Ricky Hatton, Coralles nk wakati watu walitabiri atashindwa.
 
Ingekuwa Mayweather .. amekiuka na kuvunja sheria hiyo ingekuwa kosa. Hivi ni kosa kukimbia na kuruka ruka jukwaani? Hizo si ngumi za mtaani ... Hizi zinatawaliwa na sheria .. Mayweather hajavunja sheria yeyote.
 
Unajiita mwanamasumbwi wakati kazi yako ni kukimbia kimbia tu ulingoni. Tulia rusha ngumi, punch ngumi.. sio kukimbia kimbia. Mwanaume kamili anatulia akipigwa ngumi anavumilia huku anatafuta timing. Akipigwa ya uso yeye anarudisha ya taya. Lakini ndugu yetu Myweather ni kukimbia kimbia tu. Nasikia wataalamu wanasema ukijumlisha umbali aliokimbia na kuruka ruka pale jukwaani ni sawa na kutoka Mwanza Airport hadi Igunga Tabora.. saaa hizi ni ngumi au riadha?

Hii ni professional business .. KINACHOTAKIWA ni ushindi. Kuupata kuna kanuni na sheria zake.
Kukimbia na kuruka .. ! Si katazo kwenye hiyo professional. Mayweather kaiona kama fursa kaitumia.

Ambacho mgefanya ni kupaza sauti ifutwe na isikubaliki kwenye mchezo.

Vinginevo Mtulie .. Tusherehekee ushindi.
 
The end justifies the means...!
 
Pacquiao amepigwa lazima tuache ushabiki nakuwa wakweli kwa nafsi zetu. Angalia post match conference kwenye youtubemwenyewe Pacman anasema, ''my best wasn't good enough'', na anaendeleakulalamika kuwa alikuwa ameumia bega.Pacquiao amejiunga na waashabiki wakedunia nzima kulalamika kuwa Mayweather alikuwa anakimbia, but hasemi yeye alikuwaanafanya nini ulingoni? Washabiki wa pacquiao tuambieni pac,man alikuwa anafanyanini ulingoni . Meyweather is TBE, ameweza ku-dictate mchezo kama alivyofanyadhidi ya Maidana, Marques, Miguel Cotto, Ricky Hatton, Coralles nk wakati watu walitabiri atashindwa.

Mkuu toa hiyo Avatar, huyo jamaa sio.
 
Watu wengine bwana hawajui ngumi kazi kulalamika tu.Eti alikuwa abakimbia kimbia hizo punches landed umeziona lakini

hao washazoea kuangalia ngumi za kina maneno osward(mtambo wa gongo) wakina tomas mashari ndo maana ni vigumu kwao kuelewa hali halisi
 
Unajiita mwanamasumbwi wakati kazi yako ni kukimbia kimbia tu ulingoni. Tulia rusha ngumi, punch ngumi.. sio kukimbia kimbia. Mwanaume kamili anatulia akipigwa ngumi anavumilia huku anatafuta timing. Akipigwa ya uso yeye anarudisha ya taya. Lakini ndugu yetu Myweather ni kukimbia kimbia tu. Nasikia wataalamu wanasema ukijumlisha umbali aliokimbia na kuruka ruka pale jukwaani ni sawa na kutoka Mwanza Airport hadi Igunga Tabora.. saaa hizi ni ngumi au riadha?

Umesema kweli kiongozi wakati manpac akicheza ndondo ,mayweather alikuwa anacheza riadha. Mayweather kashinda riadha na si ndondi.
 
Yeah japo nao wakiamua kukufanyia fitina ushindwe au upokonywe ubingwa hawashindwi wana mbinu milioni moja kidogo na ni wataalamu wa kutengeneza dhuluma

Watasema katumia dawa za kuongeza nguvu baada ya muda wanasema tumemsamehe asirudie tena
 
Watu wengine bwana hawajui ngumi kazi kulalamika tu.Eti alikuwa abakimbia kimbia hizo punches landed umeziona lakini

hao washazoea kuangalia ngumi za kina maneno osward(mtambo wa gongo) wakina tomas mashari ndo maana ni vigumu kwao kuelewa hali halisi
 
hao washazoea kuangalia ngumi za kina maneno osward(mtambo wa gongo) wakina tomas mashari ndo maana ni vigumu kwao kuelewa hali halisi

1430670269790.jpg 1430670283001.jpg 1430670299860.jpg 1430670319003.jpg 1430670341401.jpg
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??

PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....

defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....

lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......

kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....

kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........
 
Watu wengine bwana hawajui ngumi kazi kulalamika tu.Eti alikuwa abakimbia kimbia hizo punches landed umeziona lakini

Mayweather ni bondia mzuri sana na anavutia anapokuwa kwenye ulingo kama ilivyokuwa kwa Muhammad Ali.
 
Attachments

  • 1430681653545.jpg
    1430681653545.jpg
    44.3 KB · Views: 151
Mayweather ni bondia mzuri sana na anavutia anapokuwa kwenye ulingo kama ilivyokuwa kwa Muhammad Ali.

muhammad Ali kama angepigana kama mayweather alivyopigana leo na bado akatangazwa mshindi angeukataa ushindi huo na kumpa mpinzani wake...at least he was/is an innocent man!!!
 
Kwa wale wasiojua ngumi......kurusha ngumi
nyingi sio ndio wingi wa point....je ngumi zako
zinafikia target zenye kukuwezesha kupata
point....??

PACMAN ni kama alitumia style ya kurusha
mangumi kama njia ya kujilinda lakini si kwa
lengo la kushambulia lakini mzee wa misifa
alikuwa anashambulia...kwa maana ya kwamba
kila ngumi yake ilikuwa ina hit the target......kwa
wale wanaojua mchezo wa ngumi teknikale
watakuwa wameshanielewa....

defence skills ya PACMAN haiko makini ndio
maana huwa anatumia muda mwingi kutupa
makonde...akiwa na malengo mawili kushambulia
huku akimfanya adui asimkaribie....

lakini pia ana
udhaifu katika kurusha ngumi za aina ya
hook....na uppercut.......anatumia muda mwingi
kurusha jab ambazo kwa bondia makini kama
Mayweather haziwezi kuwa na madhara......

kitu
kilicho mnyima ushindi PAC MAN ni kurusha
ngumi nyingi zisizo na muelekeo huku akikosa
umakini katika kuimarisha ulinzi ,hali iliyofanya
Mayweather kushambulia huku akiwa na uhakika
wa kulenga target kila apatapo
nafasi.....

kushambulia muda mwingi kwa kutumia
jab pekee kumemfanya Mayweather kuwa huru
mchezoni.....na kufanya counter attack zenye
mafanikio..........

ukiamka ndoto itaisha..kuna tofauti kubwa kati ya kushinda na kutangazwa mshindi..The Philipine won!!!!
 
Hii ni professional business .. KINACHOTAKIWA ni ushindi. Kuupata kuna kanuni na sheria zake.
Kukimbia na kuruka .. ! Si katazo kwenye hiyo professional. Mayweather kaiona kama fursa kaitumia.

Ambacho mgefanya ni kupaza sauti ifutwe na isikubaliki kwenye mchezo.

Vinginevo Mtulie .. Tusherehekee ushindi.

Lazima una card ya CCM wewe!!!
 
Pacquiao amepigwa lazima tuache ushabiki nakuwa wakweli kwa nafsi zetu. Angalia post match conference kwenye youtubemwenyewe Pacman anasema, ''my best wasn't good enough'', na anaendeleakulalamika kuwa alikuwa ameumia bega.Pacquiao amejiunga na waashabiki wakedunia nzima kulalamika kuwa Mayweather alikuwa anakimbia, but hasemi yeye alikuwaanafanya nini ulingoni? Washabiki wa pacquiao tuambieni pac,man alikuwa anafanyanini ulingoni . Meyweather is TBE, ameweza ku-dictate mchezo kama alivyofanyadhidi ya Maidana, Marques, Miguel Cotto, Ricky Hatton, Coralles nk wakati watu walitabiri atashindwa.

yeah, it wasnt good enough cause he was supposed to knock the showboy off!!!

hana haja ya kusema amefanya nini wakati alichokifanya kimeonekana

pacman alikuwa anattack, anajab, anapiga cross na anapiga upper cuts

kama kufanya ulingo kuwa running track ndo kudictate boxing basi usain bolt is by far the best candidate for heavyweight championship

bravoo one-armed pac...I wonder..if you did this with a wrecked shoulder, wont you be a murderer with both shouders???
 
Question:
On your job is it the man who works the hardest who goes up the ladder or the one who works the smartest making the company money??......case closed.. Manny worked hard no doubt, can't take that away from him tonight but Floyd was smarter! Th
e smarter boxer won the match.

IF the fight was suppose to be a street fight in the streets perhaps Manny would win..BUT to beat a man in the sport of boxing you must BEAT him---doesn't matter if he runs or flys you are in the ring to WIN. Manny didn't do that. Floyd won the Boxing match which is scored by punches landed & percentages---SKILL...lets just be fair & stop using excuses. 48-0 speaks volumes.

and to beat a man in boxing..you do it by running away from him ALL the time? to me a rigged fight is no different from a street fight

I agree about floyd beating manny..he beat him to the finishing line on the RUNNING track inside the ring

now they have learnt the lesson, the next three boxers to challenge showboat Floyd will be some feeble and tactless boxers..angry for money whom he shall beat (outrun???) easily and beat someone's record of 50-0!!!! then all the hypocrites shall sit down and really celebrate!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom