Mwandishi mkongwe wa BBC ambaye amewahi kucheza boxing zamani Ndugu Erick David Nampesya ametoa maoni yafuatayo kuhusu pambano la Mayweather na Pacquiao. Akiongea kwa kutumia utaalamu wake wa ndondi amesema;
"Ngumi za sasa ni biashara. Katika kukumbatia kwa yule "mswahili" zaidi ya Mara mbili alipaswa kukatwa point. Jambo la ajabu eti ameshinda round zote, wakati Mimi nimeona kashinda 8,9 na 10.
Anyway ndio matokeo, lakini binafsi nililpoona "mfilipino" ameshindwa kumdondosha jamaa hadi round ya 6, nikajua lazima atamaliza na wakimaliza tu Maywether atatangazwa mshindi (that was planned).
Njia pekee ya kumzuia Myweather kutangazwa mshindi ilikiwa kumpiga KO au kuhakikisha hamalizi raundi zote. Lakini kumaliza raundi zote ni advantage kwake maana points hawezi kupewa mfilipino.
Kama unaijua ndondi lazima utashangaa Mayweather kutangazwa mshindi wakati yeye alikua anajihami zaidi badala ya kushambulia. Na aliposhambulia alitumia zaidi "jab" wakati Mfilipino alikua anatumia the "jab" mara chache ila mara nyingi alitumia "cross", "hook" and "uppercut". Lakini marefarii kama hawakuona vile.
Unajua mchezo wa leo, ulikuwa na thamani ya zaidi ya dola milioni 300. Sasa uchezwe Las Vegas, Majaji wote wa hapo Nevada, Kisha ashinde mfilipino?? Wamarekani wasingekubali.
Wameandaa mazingira ya Re-march iwapo mheshimiwa mbunge Pacqiao atakubali. Lengo ni kumsaidia Mayweather kutunza rekodi yake. Alisema anataka kustaafu akiishavunja rekodi ya Rocky Marciano ya kushinda mapambano 50 bila kupoteza.
Kumbuka leo amefikisha 48-0, yaani bila kupoteza pambano lolote. Kwa hiyo kinachofanyika ni siasa tu za ulingoni ili rekodi hiyo ya 50-0 iweze kufikiwa."
Haya wale waliojiita wataalamu wa ngumi waje kusema Mayweather alicheza "jab" ngapi, "cross" ngapi au "uppercut" ngapi.!

Ila kama angepigana na mzungu , Mayweather angeonekana kapigwa! Wazungu ni viumbe wengine kabisa
Unajiita mwanamasumbwi wakati kazi yako ni kukimbia kimbia tu ulingoni. Tulia rusha ngumi, punch ngumi.. sio kukimbia kimbia. Mwanaume kamili anatulia akipigwa ngumi anavumilia huku anatafuta timing. Akipigwa ya uso yeye anarudisha ya taya. Lakini ndugu yetu Myweather ni kukimbia kimbia tu. Nasikia wataalamu wanasema ukijumlisha umbali aliokimbia na kuruka ruka pale jukwaani ni sawa na kutoka Mwanza Airport hadi Igunga Tabora.. saaa hizi ni ngumi au riadha?

Acha roho mbaya kaka Mayweather mziki mwingine soma takwimu hapo juu.
Hahahaaaaa
Mchezo halali ni riadha pekee maana mshindi halali anaonekana wazi na watazamaji!
Yeah japo nao wakiamua kukufanyia fitina ushindwe au upokonywe ubingwa hawashindwi wana mbinu milioni moja kidogo na ni wataalamu wa kutengeneza dhuluma