Asonge ugali tuHappy birthday. Ngoja niongee na Intelligent businessman alete keki
Hao walikua wanataka wakupe kisukari sasa 🤪Asonge ugali tu
Thank uu, ninaisubiri kwa hamu!Happy birthday. Ngoja niongee na Intelligent businessman alete keki
Amekutania tu kasema atakuletea na azam ice cream.Now u sound like my dad🤭
Siku yesu akirudi, nita kuletea lory la keki zawadi ya HusninyoThank uu, ninaisubiri kwa hamu!
ZilipendwaAnarudi lini nisubiri
Kwa hiyo ukani imagine naimba kibwagizo cha Komando JideDr. Mariposa upo?, maana nili kukumbuka nilipo kuwa nasikiliza "sikiliza by mwana fa, lady jay dee na mangwair.