Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 25,012
- 56,303
Kumbe inaruhusiwa kumwagia pombe hili vazi?
Akitoka hapo anaenda kuvua hizo nguo anavaa suti...!! Sasa lijamaa limekimbia toka huko kolomijeee linaletaa umbea hukuu utadhani halijawahi ona sherehe za makamandaa...Ndugu zangu huu ni utaratibu wao pale mwenzao anapoacha ukapela... Harusi zao huwa zinakuwa hivi, kwa hio hakuna tatizo hapo maana huwa inafanyika kwa kufuata taratibu siyo kwamba wanakurupuka tu... kwa wale ambao wamewahi kuhudhuria harusi za maaskari hili sio geni!!!
Akitoka hapo anaenda kuvua hizo nguo anavaa suti...!! Sasa lijamaa limekimbia toka huko kolomijeee linaletaa umbea hukuu utadhani halijawahi ona sherehe za makamandaa...
Jaaa afanteeeeee.....Na wao ni binadamu, wanautashi wa kutaniana kama wasanii wanavyojiachia.
Nilisikia kofia na silaha ndo kitu muhimu yaani vikipotea hivo huna kazi, japo hawaruhusu mavazi yao yavaliwe na mtu mwingine. Ukikutwa nalo ni ama zao ama zako. Pichani simuoni na kofia wala silaha nadhani hayo wamezingatia.
Jambo afande...!!



Tatizo la wabongo ni washamba na wanaanza ku comment kwenye picha ambayo, kwaza hawakuwepo wakati inapigwa, hawajui lilikuwa ni tukio la aina gani, taratibu za taasisi husika hawazijui. Kwa taarifa yenu hiyo ilikuwa ni ndoa ya kijeshi na ndio shamra shamra za ndoa hizo huambatana na kumwagiwa pombe. Hiyo ni officialy katika majeshi mengi duniani. Kwa nini pombe? pombe ni kiungo kikubwa sana cha mwanajeshi ndio maana hata kwenye mabwalo yao pombe ipo kwa bei poa. Na hata tafsiri ya vita (WAR) wameitafsiri W= WOMEN, A=ALCOHOL, R= RIFLE.