ITASHANGAZA NA KUSIKITISHA SANAA...

ITASHANGAZA NA KUSIKITISHA SANAA...

Wazo la kabwela

JF-Expert Member
Joined
Feb 13, 2013
Posts
1,894
Reaction score
1,485
.Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.
 
Hata wasipoenda ugumu upo pale pale...

Waachani waka enjoy weekend yao.
 
Labda ndio mahari pa kufikisha ujumbe wa changamoto zinazo wakabili wacha wahudhurie
 
.Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.
Labda wataandaliwa na event ya kugawiwa ajira na fursa mwaka wa mwisho.
 
.Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.
Kweli kabisa mkuu ata sijajisumbua leo kwenda maana mamb ya msingi ni mengi zaid ukiwa loose bora usome zako tu
 
.Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.
watu hawafati mikopo pale wala pongezi wanafata burudani usiwapangie kwaiyo wasipoenda ndio hosteli zitatosha?
 
Back
Top Bottom