Itambue thamani ya uliyenae

Bazazi bazazi...!
Yani haka kaugonjwa hata mimi kanakujaga sometime na kupotea....sijui nitaovercome vip?

Dada mtumish tutatatuaje haka kadesease? Heaven Sent ??????
Hahaha nyie subirini hao watu wakiondoka ndo akili zitawakaa sawa.
 
Last edited by a moderator:
Pole mkuuu....
inaumaa mnoo, akiwa anarud sijui unataman umfanyeje..


Mimi nafikiri ata akirud anaweza kupata maumivu ambayo yatamfanya kunichukia mpaka kufa...maana upendo kwangu hakuna kabisa kwahiyo atapitia maumivu bora atokoeeee huko huko
 
Mimi nafikiri ata akirud anaweza kupata maumivu ambayo yatamfanya kunichukia mpaka kufa...maana upendo kwangu hakuna kabisa kwahiyo atapitia maumivu bora atokoeeee huko huko

yeah hakuna sababu ya kumruhusu Arudi kwa kuwa kama alishindwa kuiona thamani yako kipindi hicho ni Vipi Arudi kipindi hiki?
 

Kuna wakati mambo yanakuwa Magumu sana katika Mahusiano yetu.. Muda mwingi unautumia kwa kuulaumu Moyo au Maamuzi Yako na Hayo yote huletwa na Kile Ulichokijenga katika Imani yako.

Wakati Mwingine mapenzi yanaweza kukupumbaza na kuonekana kituko kwa jamii inayokuzunguka lakini kwa upande wako Unaweza Usilione Hilo..

Unaweza kuwa unajua kila unachofanyiwa ikiwemo na kutokuthaminiwa lakini Ukaamua Kufumba macho tu Kwa Kuwa Umependa na Hutaki kukipoteza Ulichonacho...

Kuondoka wakati umependa ni vigumu sana na kubaki huku unadharauliwa ni Ngumu sana Hivyo Hujikuta umebaki njia panda Huku ukijipa moyo kwamba Ipo siku Atabadilika bila kujua kuwa hapo ndio mwisho Wa Uhusiano wako...

Kumuacha Mtu aondoke tena Mtu Unayempenda ni Rahisi kuzungumza kuliko kutenda... Lakini Akiamua Kuondoka muache Aondoke Kwa Moyo Mkunjufu kabisaaa
 

Dah!
Mkuu maneno yako yamenigusa sana
 
kwanini Moyo Unachafukwa? Na kwanini unarudi nyuma? Tupo hapa kuambiana tatizo na kujua ni wapi tunakosea. Hatuwezi kuiona Thamani ya tulichonacho mpaka kituponyoke, unadhani tatizo ni nini hapa?
Mkuu n story ndefu kidogo but imeniathiri sana kimaisha coz nilibadilika nikawa mtu w ajabu kidogo but I thank GOD sikutumbukia kwenye ulevi ama chapa ilale! Back to topic kw ndugu zetu w kike ukiwa too good to them unaonekana kama boya n huwezi kuchukua maamuzi magumu but mwisho w siku yy ndo inamcost.
 
Duuu! Pole sana mkuu, mpaka nafikia hatua y kutoa comment ujue limenisa sana.
 
Duuu! Pole sana mkuu, mpaka nafikia hatua y kutoa comment ujue limenisa sana.


Mkuu nimeshapoa aiseee life goes on...lakini kilikuwa kipind kigumu mpaka basi lakini tatizo lake nilikuja kulijua maana kuna vitu alimwambia wifi yake nikaja kuunganisha dot nikaona Mungu alikuwa na sababu zake kunionyesha either angekuja kunisumbua baadae maana nilipanga kupeleka mahali mwisho wa mwaka huu tukio limetokea miezi kazaaa nyuma
 

Husiseme ndugu zetu wa kike sababu hii kitu ipo pande zote, na inaumiza ukimjali mtu na kumpa your all but he/she is never appreciative, there is always something wrong in what you say or do
 
Husiseme ndugu zetu wa kike sababu hii kitu ipo pande zote, na inaumiza ukimjali mtu na kumpa your all but he/she is never appreciative, there is always something wrong in what you say or do

ulichokiongea ni kweli daima kuna vitu vinatokea mpaka Unajiuliza hivi Hapa inakuwaje? Unaweza kufanya kila kitu kinachohitajika kwenye Mapenzi lakini bado likawa ni tatizo kwa mwenzi wako.
 

pole sana kiongozi, nadhani mshukuru Mungu kwa kutokea hili kabla ya kumuweka ndani.. Usingeweza kubeba maumivu mazito ambayo yangekuja kutokea ndani ya ndoa Yako... Cha kufanya Acha Maisha Yaendelee
 
Nimesoma comment karibu zote naona kama vile wengi wenu kuna wakati mlijeruhiwa na mapenzi.Poleni sana, mi ambacho huwa naamini muda ni dactari mzuri sana maumivu uliyoyapata siku mliyobreak down na leo hayalingani kabisa.
Cha msingi ni kuangalia mbele zaidi ya nyuma, kumbuka nyuma kwa ajili tu ya kujifunza sio kujikumbushia huzuni.
 
That's why we have to thank GOD for everything that happen to our life coz huwa si rahisi kwa akili y kawaida kujua tumeepushwa n nini.
 




Kweli mkuu maisha yanaenda kasi sana unapokumbuka nyuma vigumu sana kusonga mbele cha msingi kukazana kufika kwenye kilele cha malengo yako mtu sahihi atakukuta njiani au kileleni cha malengo yako...unapotoka kuumizwa kitu kizuri kujipa break kwa muda kutafakari na kufika unapotaka kufika
 
Hapo nimekusoma vizuri Douta
 
pole sana kiongozi, nadhani mshukuru Mungu kwa kutokea hili kabla ya kumuweka ndani.. Usingeweza kubeba maumivu mazito ambayo yangekuja kutokea ndani ya ndoa Yako... Cha kufanya Acha Maisha Yaendelee
kweli mkuu but kuna muda unakosa namna y kuingia tena coz hakuna kitu mbaya kama kukutana n mtu alievaa koti la dini n kukuaminisha kuwa ana maadili yote then mwisho w siku anakuja kukuacha bila sababu z msingi.
 
hilo sio tatizo mkuu bali ni tamaa. Kumbuka Ladha ni ileile na suluhisho la Unachokifanya ni siku Ambayo mkeo atagundua na kuchukua maamuzi ya kuondoka nadhani hapo ndio utaijua thamani ya mke na hao michepuko
Teh teh..Tiba ya tamaa ni ipi sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…