Binadamu wengi huwa tunatambua thamani ya kitu/mtu pale ambapo hatujakipata kabisa au tumekipata but tumekipoteza kisa tulikichukulia for granted.
I ain't perfect but TG kwa wale wachache/ vichache nilivyonavyo, navithamini and kama ni mtu basi I'll let him/her know ni kiasi namthamini kwa maneno na vitendo. Japo kuna wakati, watu wanaweza wakakuchukulia poa, but Nisikukatishe bit tamaa wala kubadilisha the person you are. Sijawahi kujuta why nilimwonesha mtu fulani kuwa namthamini, na sijawahi kutamani labda ningemtreat mtu fulani vizuri, still angekuwepo maishani mwangu. "Sometimes we don't lose people.., some people lose us". Thamini na heshimu kile ulichonacho, kuna watu wanaomba na kutamani hata wangekuwa na ulivyo navyo but ndo hawana