Itambue thamani ya uliyenae

nashukuru sana mkuu lakini nahitaji muda Zaidi na Zaidi na unapoongea kwamba wazazi na ndugu ndio wamehusika vipi picha za uchi nilizotumiwa kwa ruhusa yake?

Hii aliifanya baada ya kuona huelewi somo.ipo pia.

Ameishaamua kukuacha na haoni atakushika wapi, ni kutumia njia kama hii ili ugive up.na pia ujue akiishaamua kukuacha, haoni hasara/huruma kukufanyia chochote.hivi ndivyo yalivyo mapenzi.

Ushauri wa wanasaikorojia ni kutulia ukiumizwa, ila wa kwangu nakwambia ili uweze kumsahau haraka lazima utafute spere huku ukiwa smart kuona kabla hujaonwa, kunusa kabla hujanusa, kuwasha kabla hujawashwa.ukifikia hatua hii ni take off.
Utagundua kuwa mtu uliye naye ni tofauti na ulivyokuwa unafikiria.yaan anakuhitaji maana bazazi/changu huwa hulifikishi hatua hiyo.
 
nashukuru kwa ushauri mkuu, hakika naweza kusema umenisaidia kwa kiasi fulani ambacho naweza kuitafuta furaha sehemu nyingine na kwa wakati mwingine
 
Hapo kwenye red panauma kama nge.
 
hyo kwanini umuumize mwanaume aliyekusaidia katika maisha yako hainihusu, kwa hyo ambaye hajakusaidia ni bora umuumize tuu
 
Hapo kwenye red panauma kama nge.

Mkuu wakati mwingine itabidi tuongee ukweli ili kuwaokoa ambao bado hawajaamua kupenda. Mapenzi ni Furaha, amani na upendo... Hakuna Mtu ambaye Ameingia kwenye mahusiano ili kuumizwa au Kudharauliwa, kila mmoja aliifuata furaha na heshima ya kuthaminiwa na kuheshimiwa. Kwanini Umeacha mwanamke/mwanaume aliyekupenda ateseke? Ni ipi thamani ya upendo wake kwako? Wakati mwingine tujifunze kuheshimu machozi ya tuwapendao, ipo siku tutayahitaji japo kuyaona lakini hatutayaona tena...
 
Kweli kabisa.
 
hyo kwanini umuumize mwanaume aliyekusaidia katika maisha yako hainihusu, kwa hyo ambaye hajakusaidia ni bora umuumize tuu

huwezi kumuumiza mwanamke Ambaye hujamsaidia kwa kuwa hakuhusu na Mtu ambaye hajawahi kukuhusu huwezi kumuumiza na haitatokea kwa kuwa hajawahi kukuhusu na wala kumsaidia.
 
kila mmoja anatambua ni kiasi gani mapenzi yanaumiza. Hakuna ambaye hafahamu maumivu yanayotokana na kupenda au kupendwa. Inapotokea umependa au kupendwa Jaribu kujitoa kwa kila hali na mali bila kusita wala kufikiria mara mbili.. Daima unapokuwa katika mikono salama yenye upendo huwa hutamani kupotea na kujiondoa mikononi mwa Yule anayekujali, kukuhitaji, kukupenda na kukuthamini.. Utahitaji kila wakati uimbe naye, ucheze naye na utembee.. Kila anapotabasamu hata wewe hujikuta unatabasamu... Usimuache umpendae Akuponyoke itakuwa ni Vigumu kumrudisha akiwa Yule yule..
 
Katika siku zoooote leo angalau umeongea pont. God bless you
 
Last edited by a moderator:
Yeah! Alikuwa ikidate na mwanaume mwingine wakati nipo chuo na huyo mwanaume ndio anayeishi nae mpaka leo Huko Canada

Mkuu huyo amekwenda kwaajili ya tamaa za muda mfupi na inshu ya kwenda abroad..pili familia yake watu wa tamaaa na wanapenda kuingilia maisha mpaka ya binti zao Mungu atakulipa na hiyo hali itapotea mkuuu
 
Wengin
 
Last edited by a moderator:
Mkuu huyo amekwenda kwaajili ya tamaa za muda mfupi na inshu ya kwenda abroad..pili familia yake watu wa tamaaa na wanapenda kuingilia maisha mpaka ya binti zao Mungu atakulipa na hiyo hali itapotea mkuuu
najua mkuu na nimeanza kupambana na Hii hali na muda sio mrefu nitakuwa happy
 
tatizo lako Dotto Unaongozwa na wivu Sijui kwanini? Lakini usijali hapa hatupo siasani
Abiria must uuchunge mzigo wako. na hakuna mapenzi bila wivu. yaani km una mpenzi na hana wivu na wewe jua hapo umekosea njia
 
Heaven Sent, I just jumped out of my chair saying waoooooh, your ideas are more than strong. you talk with inner feelings and you are more than right. sometimes we hurt our souls just for someone who does not deserve to hurt us forgetting that our souls are for God.

Bravooooo my love, i just wanna say you made my day.

Once more thanks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…