Itambue mikoa 10 yenye idadi kubwa ya shule za msingi na 10 yenye idadi chache Tanzania bara

vevenononombo

JF-Expert Member
Jun 19, 2015
1,289
420
1.Mbeya (1103)
2.Tanga (1001)
3.Kilimanjaro(949)
4.Kagera(936)
5.Mwanza(913)
6.Morogoro(870)
7.Mara(780)
8.Tabora(764)
9.Ruvuma(752)
10.Dodoma(750)

Mikoa yenye shule chache za msingi Tanzania bara
1.Katavi(169)
2.Rukwa(358)
3.Njombe(481)
4.Lindi(484)
5.Iringa(489)
6.Simiyu(519)
7.Singida(522)
8.Pwani(562)
9.Geita(575)
10.Shinyanga(575)
NB: Dsm (579) kuna jambo lakufanya kwa jiji LA DSM uongozi mpya wa jiji na manispaa zake uitazame DSM kwa jicho LA huruma haiwezekani jiji kuuu kuwa na shule chache kiasi hicho
 
chanzo cha takwimu?. takwimu ya mwaka gani?.
je umejuisha shule za serikali na binafsi?.
 
vevenononombo

kwa dsm, labda waongeze miundombinu kwa shule zilizojengwa pamoja na kuongeza shule mpya pembenzoni mwa mji.

lkn kumbuka shule za dsm ni kubwa na zina wingi wa wanafunzi ukilinganisha zngne.
 
Na shule nyingi Dar zinamikondo zaidi ya mitatu, inamaana hapo ni shule tatu ziko pamoja.
 
Back
Top Bottom