palalisote
JF-Expert Member
- Aug 4, 2010
- 8,335
- 1,463
Bado M.k.w.e.r.e...!Bongo inawezekana!!!
Nionavyo watu wanaweza kujua yule ni mchumba wa fulani lakini siku akiolewa nalo ni tukio. Nionavyo kuwasilisha barua ya kujiuzulu hiyo ni breaking news licha ya kuwa na uhakika kuwa atajizulu.Mkuu hii wala sio Breaking News! toka wiki ilioisha dunia inajua kuwa anajiuzulu
Hichi kibudu nacho tangia kimefufuka ni kutuchafulia hali ya hewa tu...!Mkuu hii wala sio Breaking News! toka wiki ilioisha dunia inajua kuwa anajiuzulu
Bado M.k.w.e.r.e...!