Mayoo wane ! Kumbe kuna mambo ya pinda mugongo tena ?View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!
Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.
Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.
Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba
Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
Ni hivi , kwa mfano siti yake iko nyuma , sasa anafikaje kule ?Huyo hashim kwenye gari yake range rover sport anayotumia akiwa hapa bongo hua anatoshaje kukaa halafu kwenye q400 ashindwe, linganisha kima cha urefu wa Q400 na kima cha urefu wa range rover sport ndio ulete hizo habari zako
Watu mna visa nyie mmhhView attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!
Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.
Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.
Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba
Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
Nilichotaka kusema hayo mapanga boi hata Zitto anasema tumepigwa bei.bei halisi ni dola milioni 9 baba Jesika nae mpigajimalizia tuu unachotaka kusema mkuu
Picha ya Hashimu Thabit
Mbona andunje tu huyo?
massaiboi [HASHTAG]#pangaboi[/HASHTAG] !!!!!Swali kama hilo nilikiwa najiuliza nilipokuwa chekechea, nashindwa kuamini macho yangu kwa mtu kama wewe kuuliza swali utumbo kama hili, unless na wewe uko chekechea au labda umeuliza kwa niaba ya mwanao au bintio au ndugu yako wa chekechea.
Nilichotaka kusema hayo mapanga boi hata Zitto anasema tumepigwa bei.bei halisi ni dola milioni 9 baba Jesika nae mpigaji
nyinyi ndio mnaoamini kunyamazisha watu na kuzima uhuru wa maoni kwa risasi? Ninawaswas na uraia wako utakuwa tu jamii ya kagameUjinga mwingine utaindolewa na risasi.
Hataki sema kwanzakwan baba j hizo kanunua kwa bei gani??
je kwenye renji anatembea? Si anafungua mlango tu nakukaa? Kwanini watu warefu wateseke kwenye nchi yao nao wanahaki wafurahie matunda ya ndege zetu mpya. Hii nchi ni ya woteHuyo hashim kwenye gari yake range rover sport anayotumia akiwa hapa bongo hua anatoshaje kukaa halafu kwenye q400 ashindwe, linganisha kima cha urefu wa Q400 na kima cha urefu wa range rover sport ndio ulete hizo habari zako
Hataki sema kwanza
Hadi tathmini ya gharama ya yale maji yaliyomwagwa pale JKN airport yajumlishwe ndipo tuje na gharama rasmi
Magu hatakagi ujinga kabisa
Kaka tumuachie tu Mungu huyu jamaa hana huruma na sisikwan baba j hizo kanunua kwa bei gani??
Ni meter au foot?Ndege zetu ni mita 9 urefu wa ndani yaani cabin. Height hakuna shida
Ukweli haumezwi kirahisi, sababu ni mchungu, ukisikia wansiasa wanalia lia haki ukadhani wanacholilia ndicho wanacho maanisha, umedanganyika, mfano mdogo ndiyo huu anashangilia maumivu ya wenzie ambayo sio halali, bila kujali maimivu mnayoyapata, ila hii ungeposti juu la michezo ingependeza zaidi.Kama Mh.Mbowe unakubaliana na goli la Yanga,,na nimekuona unashangilia kuwa mmeshinda..Kiukweli hakuna haja ya kupinga matokeo ya Zanzibar maana goli la Yanga alinatofauti na uchaguzi wa Zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23] # *Ukawa hawatakagi ujinga*