Itakuwaje Watu warefu wakipanda ndege zetu

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,300
Reaction score
47,328
34-thabeet-bio-pic-1.jpg
2016-09-28 16.07.06.png
Mzuka wanaJamvi!

Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.

Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.

Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba

Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
 
View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!

baadhi yetu hatujitafakari na kuleta post za maana, kupoteza mda tukijadili urefu wa abiria na ufupi wa kimo wa ndege mpya ni upungufu wa mawazo chanya,
mlilaumu sana manunuzi ya hizi ndege ati zimetumia gharama kubwa ilihali hili au lile halijafanyika, zimenunuliwa tena kwa bei inayoendana hali yetu ya uchumi mmeanza kuponda mkitaka zingenunuliwa Boeng au Airbus ambazo kiukweli zina gharama kubwa kuliko pia hata uendeshaji wake,

hivi mfanyiwe nini? wengine mnajifanya wachambuzi ilihali hata airport hamjakanyaga, tuweni wakweli kuwa tumenunua kulingana na uchumi wetu ulivyo, tuwe wazalendo na si wachambuzi uchwara.
 
View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!

Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.

Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.

Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba

Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
UCHOCHEZI
 
Siku hizi kila mtu mtaalamu ama mchambuzi wa kila kitu, leo mwanasiasa, kesho mchumi, siku nyingine mtaalamu wa mitambo.
Taaluma haziheshimiki tena nchi hii.
 
Swali kama hilo nilikiwa najiuliza nilipokuwa chekechea, nashindwa kuamini macho yangu kwa mtu kama wewe kuuliza swali utumbo kama hili, unless na wewe uko chekechea au labda umeuliza kwa niaba ya mwanao au bintio au ndugu yako wa chekechea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom