Itakuwaje Watu warefu wakipanda ndege zetu

Itakuwaje Watu warefu wakipanda ndege zetu

Hao warefu wakatafute ndege za size yao.. Au wakapande zile za jeshi..
 
View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!

Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.

Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.

Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba

Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
Mkuu, wachache sana hao. Waholanzi ndiyo watu warefu sana duniani. Sina uhakika kama KLM wana Bombardier pia.
 
Swali kama hilo nilikiwa najiuliza nilipokuwa chekechea, nashindwa kuamini macho yangu kwa mtu kama wewe kuuliza swali utumbo kama hili, unless na wewe uko chekechea au labda umeuliza kwa niaba ya mwanao au bintio au ndugu yako wa chekechea.
jibu hoja acha jazba.

Bombadia wewe
 
Mkuu, wachache sana hao. Waholanzi ndiyo watu warefu sana duniani. Sina uhakika kama KLM wana Bombardier pia.
mkuu Sibobike unajua mada zingine tunaanzisha turefushe siku nakujifurahisha japo ukweli tunafaham ila wengine too emotional ila naona una hekima.

Naam uholanz ndio watu waref dunian its genetic wao wana ndege aina ya fokker Jamii hiyo hiyo ya mapangaboi
 
Waliotengeneza wanalijua hilo.. hawafanyi mambo kienyeji
 
Marehem gan huyo mkubwa?
Kuna jamaa alikuwa na mwili mkubwa alikuwa anapelekwa India,alishindwa kusafiri na Airline Kama tatu Oman,Qatar,Ethiopian tatizo alikuwa na umbo kubwa na uzito mkubwa...wakati ndugu wanafanya michakato jinsi ya kumsafirisha,akafariki...
 
View attachment 410372 Mzuka wanaJamvi!

Ni mtazamo wangu tu. Tuseme kwa mfano Hashim Thabit akipanda hizi ndege zetu mpya Bombardier alivyomrefu halafu kakata siti ya nyuma kabisa na pakuingilia na kutoka ni mlango wa mbele si atapata shida sana. Kwasabab hizi ndege ziko chini sana ukilinganisha na zile Boeing za 80s. Yani itakuwa mwendo wa kuinama tu hadi ufikie siti yako hoi mgongo unauma.

Serekali ingalia hili kwa jicho la tatu Kwasabab ni kuwabagua watu warefu na kuwanyima fursa nao kupanda hizi ndege zetu mpya comfortably.

Na karibisha maoni yenu kwa hoja siyo kwa jazba

Barbarosa GENTAMYCINE @hihodaya Wakudadavuwa Lizaboni
hiyo kazi ndogo, si maijiniya wazalendo wapo?basi kazi nikubandua dungu lile na kuongeza urefu, HASHIM THABIT na warefu wenziwe hata kuwa na tabu tena ya kuchuchumaa
 
NDEGE YA 1980 NA NDEGE YA 2016......
KWELI TUMERUDI NYUMA SANA..

OVA
 
Mzaha huo watu warefu wanapanda vile vindege vidogo (caravan) au zile private jet mlango mmoja tu afu waje washindwe kupanda mapanga boi yetu
 
Huu upuuzi wenu uccm/Cdm tafuteni kwa kuupereka,Kama hujui kitu ulize ufahamishwe...
niulize Kuhusu nini?
kuhusu comment niliyoitoa?
kuhusu wewe kuwa lumumba member?
kuhusu nini unataka niulize?
embu toka hapa usiniletee michosho.
 
Asili yetu ni ufupi

Huyo atakayeshindwa panda kisa urefu hamna namna maana sio raia wetu

Hizi ni kwa ajili ya watanzania tena maskini na wanyonge

Mzidi kumuombea mtukufu katukumbuka walala hoi
Maskini wanyongee ni ngumu kupanda hizi ndegee
 
Kama Mh.Mbowe unakubaliana na goli la Yanga,,na nimekuona unashangilia kuwa mmeshinda..Kiukweli hakuna haja ya kupinga matokeo ya Zanzibar maana goli la Yanga alinatofauti na uchaguzi wa Zanzibar [emoji23][emoji23][emoji23] # *Ukawa hawatakagi ujinga*
 
ungekuja na data ya height ukiwa ndani ya ndege kuliko picha! Kwa tz kuina ni sehemu nyingi ila kwa mda mfupi
 
baadhi yetu hatujitafakari na kuleta post za maana, kupoteza mda tukijadili urefu wa abiria na ufupi wa kimo wa ndege mpya ni upungufu wa mawazo chanya,
mlilaumu sana manunuzi ya hizi ndege ati zimetumia gharama kubwa ilihali hili au lile halijafanyika, zimenunuliwa tena kwa bei inayoendana hali yetu ya uchumi mmeanza kuponda mkitaka zingenunuliwa Boeng au Airbus ambazo kiukweli zina gharama kubwa kuliko pia hata uendeshaji wake,

hivi mfanyiwe nini? wengine mnajifanya wachambuzi ilihali hata airport hamjakanyaga, tuweni wakweli kuwa tumenunua kulingana na uchumi wetu ulivyo, tuwe wazalendo na si wachambuzi uchwara.
Kwani sifa ya kuwa mchambuzi ni sharti ufike airport tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom