Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Itakuwaje Lowassa akifukuzwa CCM, CHADEMA watampokea?

Tujadiliane hapa!
Waziri mkuu mtaafu Edward Lowasa akitakuwa kutoka CCM..

Chadema wanaweza kumkataa?
CHADEMA kwa sasa hawapokei "viongozi" toka CCM, hivyo Lowassa hawezi kujaribu kuomba kujiunga CHADEMa.

Ila wanachama wa kawaida wa CCM wanaoguswa na elimu ya uraia pamoja na kuzinduliwa toka usingizi wa ujinga, maradhi, ufisadi na kulindana (hivyo kukosa uzalendo na haki zao za msingi) hao wataendelea kupokelewa kila iitwapo leo.
 
Unaweza kumtimua Lowasa mmiliki wa CCM, muulize Nape ilibidi ile tamthilia yake ya kujivua gamba iwe diluted.
 
Lowasa NI MTU WAAMAAMUZ. MAGUMU

KAMA UAMUZI WA ZITO KUHUSU RUZUKU WANAUMIA KIChwa

LOWASA ANA MAAm
Uzi magumu zaidi ya hay a
 
mmmmm ruzuku si hoja.ishu nizam..zzk na EL wote hawana nizam.wanapenda nafsi zao pekee na si taifa.Wanatoa michango na pik pik wanajilipa kwenye umeme maana EL anakampun ya umeme.tangu watoe pik pik ndipo ongezeko la umeme kufika mia4.tunadata.wasituzunguke watz!
 
Back
Top Bottom