Full 8
JF-Expert Member
- Nov 11, 2010
- 313
- 271
Tembelea makumbusho ya jiolojia Tanzania(GST) ,utajionea kwa macho yako, pia utashika na vimondo mkuu.Omba msaada kwa mtu ututumie picha
Tembelea makumbusho ya jiolojia Tanzania(GST) ,utajionea kwa macho yako, pia utashika na vimondo mkuu.Omba msaada kwa mtu ututumie picha
Tembelea makumbusho ya jiolojia Tanzania(GST) ,utajionea kwa macho yako, pia utashika na vimondo mkuu. Ipo Dodoma, karibu na Dodoma hotel.Omba msaada kwa mtu ututumie picha
Tembelea makumbusho ya jiolojia Tanzania(GST) ,utajionea kwa macho yako, pia utashika na vimondo mkuu. Ipo Dodoma, karibu na Dodoma hotel.Omba msaada kwa mtu ututumie picha
Haujawa specific cha ukubwa gani?Nafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
Hii haina scientific proof bali bi THEORY kama THEORY NYENGINE .Jiulize Dinosaurs waliteketea je million years ago?. Kilianguka kikubwa kwenye shore ya Mexico na vumbi lilifunika jua for a long time. Kizazi chote cha Dinosaurs kiliteketea. Try to read about what killed the dinosaurs.
Hivi hawa viumbe ni kweli walikuwepo?Jiulize Dinosaurs waliteketea je million years ago?. Kilianguka kikubwa kwenye shore ya Mexico na vumbi lilifunika jua for a long time. Kizazi chote cha Dinosaurs kiliteketea. Try to read about what killed the dinosaurs.
Mkuu hayo majanga uliyoelezea yatategemea ukubwa(yaani size) ya kimwondo chenyewe.Utatokea mlipuko! kifupi itatokea Nuclear hiyo haijahi kutokea wala haijatengenezwa bado na watu!, Dunia itapoteana
Hakiwezi kuwa na kasi ya mwanga maana kina mass kufikia speed hiyo basi kitu kitakuwa hakina massNafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
kitakuwa mwangaNafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
kwaninikitakuwa mwanga
Wote tutakuwa mwanga.Nafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
Asante, uko njema mkuu.Hakiwezi kuwa na kasi ya mwanga maana kina mass kufikia speed hiyo basi kitu kitakuwa hakina mass