Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,720
- 1,639
Nafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
Kwanini izaliwe Nuclear mzee?Utatokea mlipuko! kifupi itatokea Nuclear hiyo haijahi kutokea wala haijatengenezwa bado na watu!, Dunia itapoteana
gotcha niggaUtatokea mlipuko! kifupi itatokea Nuclear hiyo haijahi kutokea wala haijatengenezwa bado na watu!, Dunia itapoteana
Kwa nini viumbe wengine hawakutoweka isipokuwa dinosaurs tu?Jiulize Dinosaurs waliteketea je million years ago?. Kilianguka kikubwa kwenye shore ya Mexico na vumbi lilifunika jua for a long time. Kizazi chote cha Dinosaurs kiliteketea. Try to read about what killed the dinosaurs.
Kitachimba ardhi kwa urefu wa Km kadhaa halafu kitatulia halo, zaidi kitaleta tetemeko la ardhi na vifo kama sehemu hiyo ina uhai.Nafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
Hakuna kitu chochote chenye uzito kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga.Nafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
Kile kimondo kwani kilianguka lini?Kwani kile cha Mbeya sio Kimondo?
Na kilipoanguka kilileta madhara gani?
Impossible.. ImpossibleNafikiria, kimondo kikianguka/hit dunia kwa speed ya mwanga itakuweje wataalam mnisaidie.
Hakuna kitu chochote chenye uzito kinachoweza kwenda kwa speed ya mwanga.
Hata kitu chenye uzito mdogo sana,kinavyozidi kuikaribia speed ya mwanga, ndivyo kinavyozidi kukaribia infinite mass na zero volume.
Kwahiyo, hakuna kitu chenye mass kinachoweza kufikia speed of light.
Kwa zaidi soma Einstein's Theory of Relativity.
Soma Quora ilijadili swali hili.
https://www.quora.com/Why-does-mass-become-infinite-at-the-speed-of-light
Hivyo unaniambia kwamba hakuna madhara yatakayotokea na kwamba utakaofika Ulimwenguni ni mwanga!?Impossible.. Impossible
ANYTHING TRAVELLING AT THE SPEED OF LIGHT (c) MUST TURN INTO LIGHT!
KITU CHOCHOTE KITAKACHOSAFIRI KATIKA MWENDOKASI WA MWANGA, BASI KITABADILIKA NA KUWA MWANGA.
Haiwezekani , kabla hicho kimondo hakijakaribia speed ya light, chenyewe kitakuwa kimeshateketea saa nyingi sana.
Kikichimba hilo shimo nadhani kutakuwa hakuna kutembeleana! kila mtu atabaki nchini kwake,na kama ulikuwa upo nje ya nchi utabaki hukohuko!Kitachimba ardhi kwa urefu wa Km kadhaa halafu kitatulia halo, zaidi kitaleta tetemeko la ardhi na vifo kama sehemu hiyo ina uhai.
Mfano: kimondo cha Mbozi.