Consigliere
Platinum Member
- Sep 9, 2010
- 12,690
- 26,580
Hakuna hata moja kati ya unayowaza linaweza kutokea......by any reason kama JF haitakuwa hewani kwa muda wa mwezi mmoja?
Unadhani wewe utakuwa na hali gani? Ni members gani wataathirika zaidi.
Je unadhani serikali itapumua? Au mafisadi watanawili?
Maadui wa umma watakenua? Au harakati zitahamishiwa facebook na twitter?
Najiuliza mambo mengi,
vp kama itaanzishwa Forum ya the banned yaani kama 'Prison' fulani hivi kwa ajili ya wenye ban tu wengine wasiwena access ya huko unadhani nini kitakuwa kinajadiliwa kule? Ni nani wataongoza kwa kupelekwa?
Kwasababu za kiudadisi je unadhani ban zitaongezeka?
Ndoto yako ishindwe kabisa maana JF imekuwa sehemu ya maisha yetu, it is more than a political machine! Ina contain vitu vingi ila hata hivyo Mpwa uliwaza nini hadi ukaja na wazo kama hilo?
Hakuna hata moja kati ya unayowaza linaweza kutokea
mmh! umewaza nn jamani!!
Nikutokana na umuhimu wake ndiyo maana najaribu kujiuliza maswali tofauti.
ff,ritz,rejao,malaria sugu,twahil,mzee, atafurahi sana kwa sababu kazi aliyotumwa itakuwa imemalizika na ataondokana na kutumikia id kumi kwa wakati mmoja.
ataadhimisha siku ya kupata uhuru dhidi ya utumwa wa id za kupotosha.
sijui ukifikisha mwezi itakuaje?????????????????Mwenzangu, hivi hajui ndio kwanza nina wiki moja tu humu JF! mie kanikera kweli na ndoto zake za kimweri...lol
Mwenzangu, hivi hajui ndio kwanza nina wiki moja tu humu JF! mie kanikera kweli na ndoto zake za kimweri...lol
hivi wewe usipotaja hizo ID huwa unaona siku yako haijakamilika? Hii ni thread ya tatu sasa naona unataja hizo ID... stay away from them plz~ff,ritz,rejao,malaria sugu,twahil,mzee, atafurahi sana kwa sababu kazi aliyotumwa itakuwa imemalizika na ataondokana na kutumikia id kumi kwa wakati mmoja.
ataadhimisha siku ya kupata uhuru dhidi ya utumwa wa id za kupotosha.