Mbona meko aliwateua wengi sana kina waitara mpaka leo wapo huko ni mawaziri?Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini
Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.
Yajayo yanafurahisha mko tayari?Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini
Unakumbuka shuka kumekucha. Ni muendelezo wa yaliyokwishatokea.Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini
Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.
Siasa taka za CCM zinaudhi.Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini
Ikumbukwe kuwa CCM kuna vijana wengi wamekipigania chama tena kwa kushiriki maovu ili kukilinda chama chao ili mradi washinde kwenye chaguzi mbali mbali. Vijana hao walifanya hivyo wakiamini ipo siku watapata nafasi ya uongozi.
Banaga alikuwa Meneja wa Kampeni wa Mgombea urais kupitia CHADEMA, Tundu Lisu kwenye uchaguzi 2021 ulitawaliwa na udanganyifu mkubwa.
Kwenye ziara ya kiserekali na Kichama Rais Samia Suluhu akiwa arusha kwenye mkutano wa hadhara alimpokea Bananga alikihama CHADEMA na alimuhakikiahia kuwa atamtumia, tunajua kumtumia lazima amteuwe kuwa kiongozi fluni kama sio kwenye serekali basi huenda ikawa kaenye CHAMA.
Hivi hata wapiga zumari kwenye mitandao ya kijamii Ole Mushi hana sifa za uongozi, vipi Abdulkharim Malisa na wengine?
Au tuamini kuwa CHADEMA inajua kupika viongizi wenye sifa za uongozi na hujengaji hoja zenye mashiko kuliko wliopo CCM!
Kama UVCCM itashindwa kuliemea hili na kuinyesha nguvu yake kwenye chama basi itabaki kuwa Daraja la Taasisi ya hovyo kuwahi kutokea.
Wakati mwingine UVCCM inabidi ungane na hata BAVICHA kwenye masuala ya msingi ya taifa ili kuijengea heahima yake.
Kosa la kupokea wanachama toka upinzani na kuwapa vyeo ni KOSA kubwa sana ambalo CCM wanaendelea kufanya, na pia Wapinzania wanaendelea kufanya. Edward Lowasa CCM- CHADEMA- CCM, Membe CCM - ACT- XXXX, SUMAYE CCM - CHADEMA- CCM, WASIRA CCM- NCCR- CCM, Late LAMWAI CCM- NCCR- CCM n.k.Itakuwa dharau isiyo mithilika kwa Vijana wa CCM ikiwa Bananga atateuliwa kushika nafasi yoyote ya uongozi hapa nchini